Kwanini wanawake wengi wakiwa kwenye umri mzuri (prime age) lazima wachague wanaume wasio sahihi?

Siku zote wanawake hawana akili hasa hasa katika umri huo, unakuta binti anaomba aolewe akitongozwa na mwanaume smart hataki anadate mvuta bangi tena wa huko uchochoroni kila siku lockup, sisi tutafute hela tuwaachie mambo yao. Ila tuwapige mimba kadiri tuwezavyo maana wanawahi sana kuchakaa katika umri huo baada ya kudanga sana.

Ukiona umemchakaza binti wa watu na unamtaka mchukue msitiri , ukishindwa pita hivi wewe endelea zako kuogelea huko nje.

Kila mwaka kunapisi piru zinaingia kitaa tusichoke mabaharia

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Umeongea upuuzi wa Karne!
 
Sio wote wanadanga, hizo ni mindset za wanaume wanaokataliwa na hao wadada.

Hao wadada nao wana standard zao, sasa ukiona hohehahe umpigwa cha mbavu kisa huna criteria anazotaka unaanza kusema anadanga.

Hata hivyo atawakubali wangapi?? Huenda muda wewe unamtongoza tayari yuko na barobaro wake, akimuacha si utamuona malaya.

Acheni hizo mambo, sometimes mkubali kukatiliwa na kuamini kua nao wana maamuzi yao binafsi.
 
Mkuu Hapa umepiga kwenye mshono kbsa
 
Ndio maana nilisema wapo ambao kwenye umri huo wameolewa

Mkuu ni ngumu sana kukuta mabinti wa siku hizi ana mshikaji mmoja

Umesema kuwa wana standard zao. Chifu standard yao kikubwa ni pesa vingine ni nyongeza tu

Hao wanatombeka vizuri tu hata kama ana barobaro wake, tena unamtomba huku akimchamba bwana wake

Asikudanganye kuwa wewe peke yako ndiye mtu wake
. Sema wewe ni danga lake kuu
 
Halafu hii kweli kabisa
 
How to be an alpha man,au characteristics za hao alpha male nizipi mkuu.
 
Msimange sana kisha mpige pumbu mpaka ya puani
 
Msimange sana kisha mpige pumbu mpaka ya puani


Apana! Nliamua kuchukua namba yake ili iwe maamuzi yangu kumtafuta au nsimtafute japo Sitakaa nimtafute! Binafsi kama mtu kafanya kitu sijapendaa hua najaribu kukaa nae mbali nsiwe na ukaribu nae wowote kivyovyote kuliko kumtenda ukatili
 
Hao ni wajanja wa kuwateka kihisia wanawake.
Kuzaa ni matokeo ya zinaa na sio planned.
Miaka 28 angalau wanaanza kujitambua sababu Mtoto anataka mahitaji.
Under 28 ingia kwa gia ya kula bata na sio ndoa ndo utampata
 
Ulimbukeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…