Smart Gang
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 2,013
- 3,406
Wala hawana matumizi makubwa ya nguvuWahuni Wanajua kucheza na hisia zao
Sijui pesa , Simu n.k
Wao Mbwembwe tu wanapewa utelezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala hawana matumizi makubwa ya nguvuWahuni Wanajua kucheza na hisia zao
Hilo bichwa lina madini kumbe.Umri huo binti anakua anataka kushine, aonekane mtu, aweze kumtambulisha mtu anaedate nae kwa rafiki zake.
Na pia mimi siwalaumu hao kina dada, hata akikuchagua wewe atajuaje kama wewe ni mtu sahihi?? Au labda usahihi wa mtu unaupimaje?
Mnawalaumu bure tu ila ni ngumu kupima kua huyu jamaa ni mwema au si mwema. Na kipindi hicho kila mmoja wenu anafanya jitihada za kumuwin huyo dem, so yule anaeonekana boya ni kwamba anakua hana mbinu ila yule janja janja anamuwin kwasababu ana mbinu za kumteka akatekeka.
Na kama unavojua girls wanafanya maamuzi kwa hisia, weww ukienda na propaganda zako za ndoa wakati bint ana miaka 18 atakuona jau, kuna janja ataenda na pigo za kumpeleka viwanja na shopping unadhan nani atakubaliwa??
Wewe wa ndoa atakufata akiwa na 27 yrs ili umuoe sasa ashamaliza starehe zote.
Characteristics of Alpha MaleHow to be an alpha man,au characteristics za hao alpha male nizipi mkuu.
KWahiyo wewe hao waliiolewa ndo umeona kua hawadangi??Ndio maana nilisema wapo ambao kwenye umri huo wameolewa
Mkuu ni ngumu sana kukuta mabinti wa siku hizi ana mshikaji mmoja
Umesema kuwa wana standard zao. Chifu standard yao kikubwa ni pesa vingine ni nyongeza tu
Hao wanatombeka vizuri tu hata kama ana barobaro wake, tena unamtomba huku akimchamba bwana wake
Asikudanganye kuwa wewe peke yako ndiye mtu wake. Sema wewe ni danga lake kuu
Characteristics of Alpha Male
1. Non-needness. Never put a Woman's need before yours. Jali mahitaji yako kwanz kabla hujaanza kumuwaza mwenza wako
2. Get busy smart and wealthy. Katika maisha yako ya mahusiano usiwahi kuamin kwamba pesa haina nafasi. Pesa ina nafasi kubwa na kadri unavyoitafuta kwa juhudi wanawake watakuwa karibu naww. Jipende vaa vzuri nukia vizuri ata katika utafutaji wako.
3. Physicality and Closing. Kama mwanaume jua unachotaka na kifanyie kazi. Closing means unaenda kufanya kitu bila kujali madhara ilimradi una dhamira. Mfano " ushaona dalili zote mwanamke anakutaka halaf unamuulz nkukiss?" Ivi kweli uko sawa??!
4. Value your time. Time mda. Wanawake wanakimbizana na mda. Wao wana time limit ya kufanya mambo ya uzazi. Kufanya mapema au wakiwa wamechelewa sio nzuri ata kiafya. At that prime age mwanamke anatafuta dume la kulala naye au kutafta familia. Sio hawa waliojitoa kuwa biashara. Naongelea decent women with goals... na katika kipindi icho atafany yote ili apate mtu sahihi( alpha).
Mwanaume wewe ni tofauti. Hukimbizani na mda katika mahusiano. Ata miaka 50 utapata binti wa 30 utamuoa. Usikimbilie ndoa ilihali hujajua thamani yako. Utaishia kuchepuka wakati una mda mkubwa wa kuwa free na kufanya mambo yako! Wanawake hawataki ujue thamani yako.... ukiijua hutalilia mwanamke akupende
5. Polarity. Maana yake kuuvaa uanaume wako na kuruhusu mwanamke abaki mwanamke. Sasa hiv dunia imejikita katika mambo ya 50-50! Hii imefanya wanaume kuona wako sawa na wanawake na wanawake kuona wako sawa na wanaume. Sio jambo geni kuona mwanamke anafanya kazi za kiume sasahv! Sio suala baya lakini lisiletwe kwenye mahusiano.
Ukiruhusu usawa kweny mahusiano utakubali mpenzi wako ajihisi hana la kupoteza kwako. Mwanamke wako apendeze. Asuke. Awe kivutio kila siku ukimuona. Mkizoea usawa kweny mahusiano mnashindwa kutofautisha mwaume ni nan na mwanamke ni nani! Hii inaua mahusiano. Being an alpha means embracing your masculine side and letting the feminine side show.
Mwisho niseme tu! Alpha males wanazid kupungua duniani kwa sababu tumeruhusu wanawake kufanya usawa hadi kweny mahusiano. Alot of nice guys out there na wengine wamekuwa mashoga na hadi wanawake wanaona wako sawa kuwashika wanawake wenzao cause no Alphas so they take the responsibility!
Kwa leo naomba niishie hapa
Kwani we uko chini ya mwanamke?kuna uongo mwingi hapa,
wanaume tunapenda kuamini hivi, ili tujione tuko juu ya wanawake
Umri wa kuanzia miaka 15-27 yaani hapo wanawake wengi huchagua kuzaa na waume za watu, vijana wa hovyo, deadbeat dads (wanaume wasiotaka kulea watoto wao na familia). Pia nimechunguza sio kwamba kwenye umri huo wanakuwa hawafatwi na wanaume sahihi, wanafuatwa na wanaume wengi sahihi, ila wanawakataa, au ndio ile mchagua nazi hupata koroma.
Ila wanakuja kujileta kwa hao wanaume waliowaona maboya few years back, wakishafika miaka 28+, au kama walikokuchagua kumebuma.
Yaani ulinikataa kipindi cha usichana wako, unapewa ujauzito unakimbiwa, baada ya 7 years baadae unakuja jileta kujifanya unanitaka kimapenzi, ili nikuhudumie wewe na mwanao, what kind of stupidity is this?
Baadhi ya wanawake sijui wanatuona hatuna akili kabisa!
Uamuzi mzuri ninaouona siku zote wanawake watafute pesa zao wajitegemee wenyewe,lah sivyo wasotaka hivyo hawataamini mpaka mwisho wadahari wataitwa "chombo Cha starehe" na majina mengine mabaymabya ya kuhudhiUmri huo binti anakua anataka kushine, aonekane mtu, aweze kumtambulisha mtu anaedate nae kwa rafiki zake.
Na pia mimi siwalaumu hao kina dada, hata akikuchagua wewe atajuaje kama wewe ni mtu sahihi?? Au labda usahihi wa mtu unaupimaje?
Mnawalaumu bure tu ila ni ngumu kupima kua huyu jamaa ni mwema au si mwema. Na kipindi hicho kila mmoja wenu anafanya jitihada za kumuwin huyo dem, so yule anaeonekana boya ni kwamba anakua hana mbinu ila yule janja janja anamuwin kwasababu ana mbinu za kumteka akatekeka.
Na kama unavojua girls wanafanya maamuzi kwa hisia, weww ukienda na propaganda zako za ndoa wakati bint ana miaka 18 atakuona jau, kuna janja ataenda na pigo za kumpeleka viwanja na shopping unadhan nani atakubaliwa??
Wewe wa ndoa atakufata akiwa na 27 yrs ili umuoe sasa ashamaliza starehe zote.
Mwanamke hata amiliki dunia bado atataka mwanaume, hata kama ana pesa chafu ila wanapenda kuhudumiwa mkuu. Wanafurahia hilo.Uamuzi mzuri ninaouona siku zote wanawake watafute pesa zao wajitegemee wenyewe,lah sivyo wasotaka hivyo hawataamini mpaka mwisho wadahari wataitwa "chombo Cha starehe" na majina mengine mabaymabya ya kuhudhi
Duh [emoji849] basi balaah ila kunawasichana wanaochipukia wanaonekana hawana shida kabisa na wanaume ndo maana nikasema nao wajikite kutafuta pesa Kwanjia ambayo haimtegrmei mwanaumeM
Mwanamke hata amiliki dunia bado atataka mwanaume, hata kama ana pesa chafu ila wanapenda kuhudumiwa mkuu. Wanafurahia hilo.
Unadhani movements za hawa wazee wa 50/50 wanapambania nini?? Ni wanatengeneza furaha feki ilhali mwanamke hawezi ishi bila mwanaume.
Huo utafiti umeufanyia wapi na kwa methodojia ipi? Acha mihemuko ya balehe kijana.Umri wa kuanzia miaka 15-27 yaani hapo wanawake wengi huchagua kuzaa na waume za watu, vijana wa hovyo, deadbeat dads (wanaume wasiotaka kulea watoto wao na familia). Pia nimechunguza sio kwamba kwenye umri huo wanakuwa hawafatwi na wanaume sahihi, wanafuatwa na wanaume wengi sahihi, ila wanawakataa, au ndio ile mchagua nazi hupata koroma.
Ila wanakuja kujileta kwa hao wanaume waliowaona maboya few years back, wakishafika miaka 28+, au kama walikokuchagua kumebuma.
Yaani ulinikataa kipindi cha usichana wako, unapewa ujauzito unakimbiwa, baada ya 7 years baadae unakuja jileta kujifanya unanitaka kimapenzi, ili nikuhudumie wewe na mwanao, what kind of stupidity is this?
Baadhi ya wanawake sijui wanatuona hatuna akili kabisa!
Msichana wa miaka 15 kibongobongo anatafutaje pesa mkuu??Duh [emoji849] basi balaah ila kunawasichana wanaochipukia wanaonekana hawana shida kabisa na wanaume ndo maana nikasema nao wajikite kutafuta pesa Kwanjia ambayo haimtegrmei mwanaume
Si semei hao tu mi nazungumzia zaidi Rika la 20-30 na ndo Hawa wanaopigiwa kelele kuwa wanaringa wanajionaMsichana wa miaka 15 kibongobongo anatafutaje pesa mkuu??
Na ndo wanaanza mapenzi wakiwa na umri huo