Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Mkuu mwanamke akishafika 25 wengi wanakua na wasiwasi wa ndoa.Si semei hao tu mi nazungumzia zaidi Rika la 20-30 na ndo Hawa wanaopigiwa kelele kuwa wanaringa wanajiona
Wengi wa wasichana hao wanamaisha Fulani hivi ambayo wanatuambia pindi tupigapo stori kuwa Sasa hivi hakuna shobo na ndoa Wala mwanaume
Japo pia Huwa mnasema wakifikisha miaka 30's Huwa wanahaha
Ndio mana Mimi na sema watafute tu pesa nao waishi kivyaovyao mambo yasiwe mengi maana wanasema wanaume hatueleweki na tuishie kudet tu
Umri wao wa maringo ni mfupi sana, ndo huo kuanzia 15 hadi 24, baada ya hapo wanaaza kuisakama ndoa au hayo maneno ya mkosaji kua hahitaji mwanaume, yeye anachotaka ni pesa tu nk ila deepdown huwa wanawataka sana wanaume saana zaidi ya sisi tuwatakavyo wao.
Yaani mwanamke ana 28 anaringaje sasa mkuu umri ushaenda huyo hata kuzaa kwake ni kwa mahesabu makali.