Kwanini wanawake wengi wakiwa kwenye umri mzuri (prime age) lazima wachague wanaume wasio sahihi?

Wanaume sahihi umri huo wanakuwa hawana magari,pesa na umaarufu wakiwa navyo tayar ni waume za watu.
 
Waume za watu upendwa kwa sababu ni wahongaji wazuri bila hongo hawapati
 
Men get better with time, Women lose value with time. The greatest enemy of a woman is Age.
 
Umri huo binti anakua anataka kushine, aonekane mtu, aweze kumtambulisha mtu anaedate nae kwa rafiki zake.

Na pia mimi siwalaumu hao kina dada, hata akikuchagua wewe atajuaje kama wewe ni mtu sahihi?? Au labda usahihi wa mtu unaupimaje?

Mnawalaumu bure tu ila ni ngumu kupima kua huyu jamaa ni mwema au si mwema. Na kipindi hicho kila mmoja wenu anafanya jitihada za kumuwin huyo dem, so yule anaeonekana boya ni kwamba anakua hana mbinu ila yule janja janja anamuwin kwasababu ana mbinu za kumteka akatekeka.

Na kama unavojua girls wanafanya maamuzi kwa hisia, weww ukienda na propaganda zako za ndoa wakati bint ana miaka 18 atakuona jau, kuna janja ataenda na pigo za kumpeleka viwanja na shopping unadhan nani atakubaliwa??
Wewe wa ndoa atakufata akiwa na 27 yrs ili umuoe sasa ashamaliza starehe zote.
Hilo bichwa lina madini kumbe.
 
How to be an alpha man,au characteristics za hao alpha male nizipi mkuu.
Characteristics of Alpha Male
1. Non-needness. Never put a Woman's need before yours. Jali mahitaji yako kwanz kabla hujaanza kumuwaza mwenza wako

2. Get busy smart and wealthy. Katika maisha yako ya mahusiano usiwahi kuamin kwamba pesa haina nafasi. Pesa ina nafasi kubwa na kadri unavyoitafuta kwa juhudi wanawake watakuwa karibu naww. Jipende vaa vzuri nukia vizuri ata katika utafutaji wako.

3. Physicality and Closing. Kama mwanaume jua unachotaka na kifanyie kazi. Closing means unaenda kufanya kitu bila kujali madhara ilimradi una dhamira. Mfano " ushaona dalili zote mwanamke anakutaka halaf unamuulz nkukiss?" Ivi kweli uko sawa??!

4. Value your time. Time mda. Wanawake wanakimbizana na mda. Wao wana time limit ya kufanya mambo ya uzazi. Kufanya mapema au wakiwa wamechelewa sio nzuri ata kiafya. At that prime age mwanamke anatafuta dume la kulala naye au kutafta familia. Sio hawa waliojitoa kuwa biashara. Naongelea decent women with goals... na katika kipindi icho atafany yote ili apate mtu sahihi( alpha).
Mwanaume wewe ni tofauti. Hukimbizani na mda katika mahusiano. Ata miaka 50 utapata binti wa 30 utamuoa. Usikimbilie ndoa ilihali hujajua thamani yako. Utaishia kuchepuka wakati una mda mkubwa wa kuwa free na kufanya mambo yako! Wanawake hawataki ujue thamani yako.... ukiijua hutalilia mwanamke akupende

5. Polarity. Maana yake kuuvaa uanaume wako na kuruhusu mwanamke abaki mwanamke. Sasa hiv dunia imejikita katika mambo ya 50-50! Hii imefanya wanaume kuona wako sawa na wanawake na wanawake kuona wako sawa na wanaume. Sio jambo geni kuona mwanamke anafanya kazi za kiume sasahv! Sio suala baya lakini lisiletwe kwenye mahusiano.
Ukiruhusu usawa kweny mahusiano utakubali mpenzi wako ajihisi hana la kupoteza kwako. Mwanamke wako apendeze. Asuke. Awe kivutio kila siku ukimuona. Mkizoea usawa kweny mahusiano mnashindwa kutofautisha mwaume ni nan na mwanamke ni nani! Hii inaua mahusiano. Being an alpha means embracing your masculine side and letting the feminine side show.

Mwisho niseme tu! Alpha males wanazid kupungua duniani kwa sababu tumeruhusu wanawake kufanya usawa hadi kweny mahusiano. Alot of nice guys out there na wengine wamekuwa mashoga na hadi wanawake wanaona wako sawa kuwashika wanawake wenzao cause no Alphas so they take the responsibility!

Kwa leo naomba niishie hapa
 
Vijana wa kiume tunaumia kuona tunakataliwa sababu kila mtu anajiona ana haki ya kukubaliwa, kukataliwa kupo tu uwe nacho usiwe nacho, uwe kwenye kundi la alpha males au nice guys mind you kukataliwa kupo. Wanawake ni viumbe wanaojijua wenyewe hata wao pia wanavutia na vitu wavipendavyo, kama hakuna ulichomvutia atawezaje kuwa na wewe?!

Jambo muhimu ni kuepuka kuwa na mwanamke desperate, kwasababu mwanamke desperate siku zote mambo yakibuma anatafuta second best & second option., ambaye ni wewe sasa uliyekataliwa mwanzo na haupo peke yako mnachujwa pia.
 
Ndio maana nilisema wapo ambao kwenye umri huo wameolewa

Mkuu ni ngumu sana kukuta mabinti wa siku hizi ana mshikaji mmoja

Umesema kuwa wana standard zao. Chifu standard yao kikubwa ni pesa vingine ni nyongeza tu

Hao wanatombeka vizuri tu hata kama ana barobaro wake, tena unamtomba huku akimchamba bwana wake

Asikudanganye kuwa wewe peke yako ndiye mtu wake
. Sema wewe ni danga lake kuu
KWahiyo wewe hao waliiolewa ndo umeona kua hawadangi??

Mbona wapo wengi sana tu wenye mpenzi mmoja na ni pisi kali?
Ujue tatizo la wanaume siku hizi ni kutojiamini na ndio maana dem anakucheat coz unamharass sana kwa kutojiamini kwako.

Ukiwa na dem mzuri unaamini hauko peke yako, wasiwasi mwingi, humwamini hata kidogo, unadhani yeye atakuaje na amani na wewe usiejiamini??
Ndio maana badboys wanawala sana pisi kali coz hawanaga time nao, hawawafatilii kama goodguys mlivyo.

Futa hiyo kua kila dem mzuri ni malaya.
 
Characteristics of Alpha Male
1. Non-needness. Never put a Woman's need before yours. Jali mahitaji yako kwanz kabla hujaanza kumuwaza mwenza wako

2. Get busy smart and wealthy. Katika maisha yako ya mahusiano usiwahi kuamin kwamba pesa haina nafasi. Pesa ina nafasi kubwa na kadri unavyoitafuta kwa juhudi wanawake watakuwa karibu naww. Jipende vaa vzuri nukia vizuri ata katika utafutaji wako.

3. Physicality and Closing. Kama mwanaume jua unachotaka na kifanyie kazi. Closing means unaenda kufanya kitu bila kujali madhara ilimradi una dhamira. Mfano " ushaona dalili zote mwanamke anakutaka halaf unamuulz nkukiss?" Ivi kweli uko sawa??!

4. Value your time. Time mda. Wanawake wanakimbizana na mda. Wao wana time limit ya kufanya mambo ya uzazi. Kufanya mapema au wakiwa wamechelewa sio nzuri ata kiafya. At that prime age mwanamke anatafuta dume la kulala naye au kutafta familia. Sio hawa waliojitoa kuwa biashara. Naongelea decent women with goals... na katika kipindi icho atafany yote ili apate mtu sahihi( alpha).
Mwanaume wewe ni tofauti. Hukimbizani na mda katika mahusiano. Ata miaka 50 utapata binti wa 30 utamuoa. Usikimbilie ndoa ilihali hujajua thamani yako. Utaishia kuchepuka wakati una mda mkubwa wa kuwa free na kufanya mambo yako! Wanawake hawataki ujue thamani yako.... ukiijua hutalilia mwanamke akupende

5. Polarity. Maana yake kuuvaa uanaume wako na kuruhusu mwanamke abaki mwanamke. Sasa hiv dunia imejikita katika mambo ya 50-50! Hii imefanya wanaume kuona wako sawa na wanawake na wanawake kuona wako sawa na wanaume. Sio jambo geni kuona mwanamke anafanya kazi za kiume sasahv! Sio suala baya lakini lisiletwe kwenye mahusiano.
Ukiruhusu usawa kweny mahusiano utakubali mpenzi wako ajihisi hana la kupoteza kwako. Mwanamke wako apendeze. Asuke. Awe kivutio kila siku ukimuona. Mkizoea usawa kweny mahusiano mnashindwa kutofautisha mwaume ni nan na mwanamke ni nani! Hii inaua mahusiano. Being an alpha means embracing your masculine side and letting the feminine side show.

Mwisho niseme tu! Alpha males wanazid kupungua duniani kwa sababu tumeruhusu wanawake kufanya usawa hadi kweny mahusiano. Alot of nice guys out there na wengine wamekuwa mashoga na hadi wanawake wanaona wako sawa kuwashika wanawake wenzao cause no Alphas so they take the responsibility!

Kwa leo naomba niishie hapa

Wengi hupumbuzwa na kauli za Wanawake na beta male waliomaarufu.
Ukiwa alpha male Wanawake wengi wataona unawachukia Wakati huohuo ndio wanazama Inbox kukutongoza.
 
Mambo yao waachie wenyewe, hayanaga muongozo...
 
Umri wa kuanzia miaka 15-27 yaani hapo wanawake wengi huchagua kuzaa na waume za watu, vijana wa hovyo, deadbeat dads (wanaume wasiotaka kulea watoto wao na familia). Pia nimechunguza sio kwamba kwenye umri huo wanakuwa hawafatwi na wanaume sahihi, wanafuatwa na wanaume wengi sahihi, ila wanawakataa, au ndio ile mchagua nazi hupata koroma.

Ila wanakuja kujileta kwa hao wanaume waliowaona maboya few years back, wakishafika miaka 28+, au kama walikokuchagua kumebuma.

Yaani ulinikataa kipindi cha usichana wako, unapewa ujauzito unakimbiwa, baada ya 7 years baadae unakuja jileta kujifanya unanitaka kimapenzi, ili nikuhudumie wewe na mwanao, what kind of stupidity is this?

Baadhi ya wanawake sijui wanatuona hatuna akili kabisa!

Makundi rika, kutokujitambua, tamaa , kuona kua wakati ni huo hana cha kupoteza!
 
Umri huo binti anakua anataka kushine, aonekane mtu, aweze kumtambulisha mtu anaedate nae kwa rafiki zake.

Na pia mimi siwalaumu hao kina dada, hata akikuchagua wewe atajuaje kama wewe ni mtu sahihi?? Au labda usahihi wa mtu unaupimaje?

Mnawalaumu bure tu ila ni ngumu kupima kua huyu jamaa ni mwema au si mwema. Na kipindi hicho kila mmoja wenu anafanya jitihada za kumuwin huyo dem, so yule anaeonekana boya ni kwamba anakua hana mbinu ila yule janja janja anamuwin kwasababu ana mbinu za kumteka akatekeka.

Na kama unavojua girls wanafanya maamuzi kwa hisia, weww ukienda na propaganda zako za ndoa wakati bint ana miaka 18 atakuona jau, kuna janja ataenda na pigo za kumpeleka viwanja na shopping unadhan nani atakubaliwa??
Wewe wa ndoa atakufata akiwa na 27 yrs ili umuoe sasa ashamaliza starehe zote.
Uamuzi mzuri ninaouona siku zote wanawake watafute pesa zao wajitegemee wenyewe,lah sivyo wasotaka hivyo hawataamini mpaka mwisho wadahari wataitwa "chombo Cha starehe" na majina mengine mabaymabya ya kuhudhi
 
M

Mwanamke hata amiliki dunia bado atataka mwanaume, hata kama ana pesa chafu ila wanapenda kuhudumiwa mkuu. Wanafurahia hilo.

Unadhani movements za hawa wazee wa 50/50 wanapambania nini?? Ni wanatengeneza furaha feki ilhali mwanamke hawezi ishi bila mwanaume.
 
Duh [emoji849] basi balaah ila kunawasichana wanaochipukia wanaonekana hawana shida kabisa na wanaume ndo maana nikasema nao wajikite kutafuta pesa Kwanjia ambayo haimtegrmei mwanaume
 
Umri wa kuanzia miaka 15-27 yaani hapo wanawake wengi huchagua kuzaa na waume za watu, vijana wa hovyo, deadbeat dads (wanaume wasiotaka kulea watoto wao na familia). Pia nimechunguza sio kwamba kwenye umri huo wanakuwa hawafatwi na wanaume sahihi, wanafuatwa na wanaume wengi sahihi, ila wanawakataa, au ndio ile mchagua nazi hupata koroma.

Ila wanakuja kujileta kwa hao wanaume waliowaona maboya few years back, wakishafika miaka 28+, au kama walikokuchagua kumebuma.

Yaani ulinikataa kipindi cha usichana wako, unapewa ujauzito unakimbiwa, baada ya 7 years baadae unakuja jileta kujifanya unanitaka kimapenzi, ili nikuhudumie wewe na mwanao, what kind of stupidity is this?

Baadhi ya wanawake sijui wanatuona hatuna akili kabisa!
Huo utafiti umeufanyia wapi na kwa methodojia ipi? Acha mihemuko ya balehe kijana.
 
Duh [emoji849] basi balaah ila kunawasichana wanaochipukia wanaonekana hawana shida kabisa na wanaume ndo maana nikasema nao wajikite kutafuta pesa Kwanjia ambayo haimtegrmei mwanaume
Msichana wa miaka 15 kibongobongo anatafutaje pesa mkuu??
Na ndo wanaanza mapenzi wakiwa na umri huo
 
Si semei hao tu mi nazungumzia zaidi Rika la 20-30 na ndo Hawa wanaopigiwa kelele kuwa wanaringa wanajiona

Wengi wa wasichana hao wanamaisha Fulani hivi ambayo wanatuambia pindi tupigapo stori kuwa Sasa hivi hakuna shobo na ndoa Wala mwanaume
Japo pia Huwa mnasema wakifikisha miaka 30's Huwa wanahaha
Ndio mana Mimi na sema watafute tu pesa nao waishi kivyaovyao mambo yasiwe mengi maana wanasema wanaume hatueleweki na tuishie kudet tu
 
Back
Top Bottom