Kwanini wanawake wengi wakiwa kwenye umri mzuri (prime age) lazima wachague wanaume wasio sahihi?

Mkuu mwanamke akishafika 25 wengi wanakua na wasiwasi wa ndoa.
Umri wao wa maringo ni mfupi sana, ndo huo kuanzia 15 hadi 24, baada ya hapo wanaaza kuisakama ndoa au hayo maneno ya mkosaji kua hahitaji mwanaume, yeye anachotaka ni pesa tu nk ila deepdown huwa wanawataka sana wanaume saana zaidi ya sisi tuwatakavyo wao.

Yaani mwanamke ana 28 anaringaje sasa mkuu umri ushaenda huyo hata kuzaa kwake ni kwa mahesabu makali.
 
Ulikua hauna swagga..
 
Kuna kidem kilimjibu vibaya mwalimu,eti mimi mwalimu nimpeleke wapi na wakat huo mwalimu alitaka kukatoa out waende kwenye kiwanja cha mpira wa miguu wakapige story

Afu kidemu chenyew hata seko hakikumaliza,muda huo kananing'ang'ania mimi kisa nina hela za dili haramu afu hakajui ni za muda mfupi tu,nilitaman kukiambia nenda kwa mwalimu ni sehemu salama zaidi
 
Labda alikuwa amevutiwa na wewe, kuliko mwalimu..machoni pake labda wewe ulikuwa ni handsome kuliko mwalimu Wagumu Tunadumu
 
Jipe moyo
 
Uko vizuri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…