Kwanini Wanawake wenye majina haya yafuatayo huwa ni wazuri / watamu Kitandani?

Kabisa yaan kwani kaonja majina yote duniani

Yawezekana katumia representative sample kwa kutumia cluster sampling strategy. Kumbuka utafiti haufanyiki kwa kutumia population nzima kwa sababu ni ngumu kufanikisha, na ikiwezekana basi hiyo ni census na gharama yake ni kubwa in terms of time and cost, na kwa njia yake ya experimentation lazima atazeeka. Au kupitia na ndugu, ni vyema akaondoa ndugu wa karibu wenye majina hayo.

Au ametumia non-probability sample halafu aka-generalise kwenye theory. Sasa kama katumia theory ni vyema akaisema.
 
Me wangu Hawa Ebitoke ,Sandra ,aminata,Candy, Shairozy na Nasra yaani Hawa watu noma sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…