Protector
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 422
- 893
Habari wanajukwaa,
Moja kwa moja kwenye mada.
Wanawake wenye mafanikio kiuchumi huwa hawadumu kwenye ndoa na wengine huwa hawaolewi kabisa japo wanapenda kudate na wanaume (vijana) wasio na pesa nyingi wakiwahudumia kwa kila kitu na wakizingua wanawatimua.
Hasa watumishi ndiyo wanaongoza kuwa single mothers kuliko wafanyabiashara. Kuna ofisi fulani kubwa tu, kati ya wanawake 16 wanaofanya kazi hapo 12 waliolewa na kuachana na waume zao.
Shida ni nini wadau?