Kwanini wanawake wenye pesa hawadumu kwenye ndoa, wengi wao ni single mothers

Ni mtazamo tu. Je kuna utafiti wowote ulioufanya juu ya hili au ni story za vijiweni tu?
Binafsi kuna watu wawili nimeshuhudia wake zao wana mali za kurithi faida kedekede na wanawaheshim mno. .
Umesema wamerithi, means wao walitafuta ndoa na sio kutafuta Atm mashine.
90% ya wanawake wanaolewa kwa sababu ya umasikini na sio kujua nini maana ya ndoa. Thus wakipata mali uwadharau waume zao au wakikosa mali uwakimbia waume zao wenye aibu ubakia kuwadharau waume zao.
Mwanamke akiwa na pesa tena za kurithi au katokea kwenye utajiri hawi limbukeni anatafuta mume na sio ATM.
 
Wapo wanawake Wana elimu Sana na wanapesa sana na wanaheshimu ndoa zao, wanaheshimu waume zao na Jamii KWA ujumla. Wanajua kutofautisha humanity and prosperity yaani pesa zao, mali zao, elimu zao na wao wenyewe. Hawa wakiingia ndani elimu, ubosi, pesa zao, vyeo vyao uvivua na kuviacha getini, ndani uingia kama mke, mama.
Hawa kwao familia ni kitu bora kuliko walivyonavyo ( high maturity stage).
Wana true love walitafuta mume na sio ATM. Ipo tofauti ya mume na ATM.
Mume ni wa shida na raha wapo wanawake mume awe nazo ayumbe still Wana simama nae fully heshima kulinda maadili na future ya watoto.
Kuna ATM hapa ni wengi shida na raha haipo raha ni ya wote shida ni ya kwako, wafata pesa , ukuheshimu KWA sababu pesa ipo na sio kukuheshimu kwa uume wake katika nyumba.
 
Waefeso 5 :22-33.
22 Wake, watiini waume zenu kama
mnavyomtii Bwana. 23 Kwa maana mume ni kichwa cha mke kama vile Kristo alivyo kichwa cha kanisa, ambalo ni mwili wake, naye mwe nyewe ni Mwokozi wa kanisa. 24 Basi, kama vile Kanisa linavyom tii Kristo, vivyo hivyo na wake pia wanapaswa kuwatii waume zao kwa kila jambo. 25 Ninyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo alivyolipenda kanisa akajitoa nafsi yake kwa ajili yake ili 26 alitakase.

Alifanya hivyo kwa kuliosha kwa maji na kwa neno lake 27 ili ajipatie kanisa linalong’aa, lisilo na doa wala kunjamano wala kitu kingine cho chote kama hicho; liwe takatifu na bila kasoro. 28 Vivyo hivyo waume wawapende wake zao kama miili yao. Anayempenda mkewe anajipenda mwenyewe. 29 Hakuna mtu anayeuchukia mwili wake mwenyewe, bali huulisha na kuutunza vizuri, kama Kristo anavyolitunza kanisa lake.

30 Sisi tu viungo vya mwili wake. 31 “Kwa sababu hii, mwanaume atamwacha baba yake na mama yake, naye ataungana na mkewe, na hawa wawili wata kuwa mwili mmoja.” 32 Hili ni fumbo gumu kueleweka, nami nasema kuwa ni kielelezo kuhusu Kristo na kanisa. 33 Hata hivyo kila mmoja wenu ampende mkewe kama anavyoipenda nafsi yake; na mke naye ahakikishe anamheshimu mumewe
 
Habari wanajukwaa,
Moja kwa moja kwenye mada.
Wanawake wenye mafanikio kiuchumi huwa hawadumu kwenye ndoa na wengine huwa hawaolewi kabisa japo wanapenda kudate na wanaume (vijana) wasio na pesa nyingi wakiwahudumia kwa kila kitu na wakizingua wanawatimua.

Hasa watumishi ndiyo wanaongoza kuwa single mothers kuliko wafanyabiashara. Kuna ofisi fulani kubwa tu, kati ya wanawake 16 wanaofanya kazi hapo 12 waliolewa na kuachana na waume zao.

Shida ni nini wadau?
Waswahili maskini ndio hawajali wanaachana daily. We omba update mke mwema.
 
Umesema wamerithi, means wao walitafuta ndoa na sio kutafuta Atm mashine.
90% ya wanawake wanaolewa kwa sababu ya umasikini na sio kujua nini maana ya ndoa. Thus wakipata mali uwadharau waume zao au wakikosa mali uwakimbia waume zao wenye aibu ubakia kuwadharau waume zao.
Mwanamke akiwa na pesa tena za kurithi au katokea kwenye utajiri hawi limbukeni anatafuta mume na sio ATM.
Well said
 
Habari wanajukwaa,
Moja kwa moja kwenye mada.
Wanawake wenye mafanikio kiuchumi huwa hawadumu kwenye ndoa na wengine huwa hawaolewi kabisa japo wanapenda kudate na wanaume (vijana) wasio na pesa nyingi wakiwahudumia kwa kila kitu na wakizingua wanawatimua.

Hasa watumishi ndiyo wanaongoza kuwa single mothers kuliko wafanyabiashara. Kuna ofisi fulani kubwa tu, kati ya wanawake 16 wanaofanya kazi hapo 12 waliolewa na kuachana na waume zao.

Shida ni nini wadau?
Kikawaida mwanamke ameumbwa kupokea na sio kutoa (ni imani na mtazamo wangu)dats mara chache kukuta mwanamke anaejiweza kiuchumi kumhudumia mwanaume ambae hayuko responsible kwa familia yake wakasurvive kwa mda mrefu wanachoka mapema coz hawakuumbwa hivo..
 
Umesema wamerithi, means wao walitafuta ndoa na sio kutafuta Atm mashine.
90% ya wanawake wanaolewa kwa sababu ya umasikini na sio kujua nini maana ya ndoa. Thus wakipata mali uwadharau waume zao au wakikosa mali uwakimbia waume zao wenye aibu ubakia kuwadharau waume zao.
Mwanamke akiwa na pesa tena za kurithi au katokea kwenye utajiri hawi limbukeni anatafuta mume na sio ATM.
Mara nyingi kama anavyovyote tamaa hapo juu akisurvive kwa ndoa mwanamke huyo yupo kwa ajili ya status ya ndoa tu lkn mwanaume cha moto utaona huko ndan soon or later
 
Wanawake wenye mafanikio kiuchumi huwa hawadumu kwenye ndoa na wengine huwa hawaolewi kabisa japo wanapenda kudate na wanaume (vijana) wasio na pesa nyingi wakiwahudumia kwa kila kitu na wakizingua wanawatimua.
Pesa ndiye mtawala namba moja na controler wa kila kitu
 
Kuwaona watu wanaishi kwenye nyumba ya paa moja ndio kipimo cha kudumu kwenye ndoa?

Mbona wapo wengi tu walishaachana Na kutengana vyumba ?!

Sijui Kwanini hawataki ku move on.
 
Habari wanajukwaa,

Moja kwa moja kwenye mada.

Wanawake wenye mafanikio kiuchumi huwa hawadumu kwenye ndoa na wengine huwa hawaolewi kabisa japo wanapenda kudate na wanaume (vijana) wasio na pesa nyingi wakiwahudumia kwa kila kitu na wakizingua wanawatimua.

Hasa watumishi ndiyo wanaongoza kuwa single mothers kuliko wafanyabiashara. Kuna ofisi fulani kubwa tu, kati ya wanawake 16 wanaofanya kazi hapo 12 waliolewa na kuachana na waume zao.

Shida ni nini wadau?
Wanaume dhaifu kwa asilimia kubwa. Wengi sio viongozi kwa hao wanawake.
 
Habari wanajukwaa,

Moja kwa moja kwenye mada.

Wanawake wenye mafanikio kiuchumi huwa hawadumu kwenye ndoa na wengine huwa hawaolewi kabisa japo wanapenda kudate na wanaume (vijana) wasio na pesa nyingi wakiwahudumia kwa kila kitu na wakizingua wanawatimua.

Hasa watumishi ndiyo wanaongoza kuwa single mothers kuliko wafanyabiashara. Kuna ofisi fulani kubwa tu, kati ya wanawake 16 wanaofanya kazi hapo 12 waliolewa na kuachana na waume zao.

Shida ni nini wadau?
Ila nimekuja kugundua huwezi kuta feminist anatokea Tanga [emoji23][emoji23]wengi ni wa mikoa fulani fulani na hawajui kupika. Sijui kwa nini
 
Umesema wamerithi, means wao walitafuta ndoa na sio kutafuta Atm mashine.
90% ya wanawake wanaolewa kwa sababu ya umasikini na sio kujua nini maana ya ndoa. Thus wakipata mali uwadharau waume zao au wakikosa mali uwakimbia waume zao wenye aibu ubakia kuwadharau waume zao.
Mwanamke akiwa na pesa tena za kurithi au katokea kwenye utajiri hawi limbukeni anatafuta mume na sio ATM.
Je, wanaume watafute wanawake kutoka familia za watu wenye pesa ??
 
Back
Top Bottom