Kwanini wanawake wenye pesa hawadumu kwenye ndoa, wengi wao ni single mothers

Kwanini wanawake wenye pesa hawadumu kwenye ndoa, wengi wao ni single mothers

Shida sio mwanamke mwenye pesa bali shida ni mwanaume kuhisi kila upungufu wa mkewe mwenye pesa/elimu ni kiburi cha pesa.

Tajiri au masikini,msomi au asosoma mwanamke ni mwanamke na wote wana vitabia vinavyofanana.

Ukioa last born from poor family akawa mvivu kila kitu anamuachia housemaid utasema kadekezwa ndo mana mvivu lkn akiwa tajiri utasema hafanyi chochote nyumban sbb ya kibur cha pesa zake.

Mama J wa DeepPond anaitwa pasua kichwa kwa tabia zake ila angekua na hela tungesema hamuheshimu bro DP kisa ana vihela.

Ndoa na wanawake wenye hela hazidumu sbb tayar wanaume wengi washajiaminisha kuwa mwanamke aliyekuzid kipato/elimu ni tatizo.Na ubongo ukishaamin hivi kamwe hutakaa ulione jema la huyo mwanamke.
 
Ndoa ngumu sana sikuhizi
Ndoa ngumu kwa anayetaka kuifanya kuwa ngumu ila kwa kufuata misingi ndoa sio ngumu.

Shida huanza pale mwanamke anapohisi kuwa anamfanyia favour mumewe kwa kumheshimu na kumtii sababu ana hela na anaweza fanya chochote anachotaka bila hata huyo mume. This is the root of the problem.
 
Shida sio mwanamke mwenye pesa bali shida ni mwanaume kuhisi kila upungufu wa mkewe mwenye pesa/elimu ni kiburi cha pesa.

Tajiri au masikini,msomi au asosoma mwanamke ni mwanamke na wote wana vitabia vinavyofanana.

Ukioa last born from poor family akawa mvivu kila kitu anamuachia housemaid utasema kadekezwa ndo mana mvivu lkn akiwa tajiri utasema hafanyi chochote nyumban sbb ya kibur cha pesa zake.

Mama J wa DeepPond anaitwa pasua kichwa kwa tabia zake ila angekua na hela tungesema hamuheshimu bro DP kisa ana vihela.

Ndoa na wanawake wenye hela hazidumu sbb tayar wanaume wengi washajiaminisha kuwa mwanamke aliyekuzid kipato/elimu ni tatizo.Na ubongo ukishaamin hivi kamwe hutakaa ulione jema la huyo mwanamke.
Mzee mwanamke submissive anaonekana tu hata akiwa na billion 5 bank. The moment unaongea nae tu utagundua kuwa she is the one to be with.

Upo na mwanamke for dinner anafokea wahudumu like fuq kisa wamechelewesha chakula kidogo. Umeenda nae bar anafokea wahudumu like shiettt ati bia mbona sio ya baridi sana. Unategemea kuna mtu hapo sasa. Oa huyo wa hivyo uone balaa lake kama hujaanza kuosha vyombo akishakuzoea.
 
Habari wanajukwaa,

Moja kwa moja kwenye mada.

Wanawake wenye mafanikio kiuchumi huwa hawadumu kwenye ndoa na wengine huwa hawaolewi kabisa japo wanapenda kudate na wanaume (vijana) wasio na pesa nyingi wakiwahudumia kwa kila kitu na wakizingua wanawatimua.

Hasa watumishi ndiyo wanaongoza kuwa single mothers kuliko wafanyabiashara. Kuna ofisi fulani kubwa tu, kati ya wanawake 16 wanaofanya kazi hapo 12 waliolewa na kuachana na waume zao.

Shida ni nini wadau?
Hii reserach ulifanya wapi? Inaonekana hizi ni hisia zako binafsi! Kutumia takwimu za ofisi moja lazima kutaleta hitimisho lenye kosa.
 
Yupo radhi aajiri house maids watatu kuliko akutandikie kitanda au kukunyooshea nguo
Anaona anakufanyia bonge la favor kukupanulia mapaja kila unapotaka so anatafta jinsi ya kukukomesha😀😀😀!

Hafui wala kupika na wengine wanajisifugi humu humu ati sifuagi kwa boyfrend kumbe ni livivu 🤣🤣🤣
 
Ni mtazamo tu. Je kuna utafiti wowote ulioufanya juu ya hili au ni story za vijiweni tu?
Binafsi kuna watu wawili nimeshuhudia wake zao wana mali za kurithi faida kedekede na wanawaheshim mno. .
Na mimi nimeamwambia hivyo hivyo. Jamaa anaongozwa na hisia zaidi. Inaonekana ni hisia alizonazo nazo yeye binafsi na ametumia hiyo ofisi kuhitimisha hisia zake tu. Kuna wanawake wengi sana wenye kazi nzuri na wako kwenye ndoa.
 
Kama hujajua sasa wanawake wengi wanapenda uhuru toka kitambo tu sema mifumo iliojengeka kiasili ilikuwa inazuia hili kwakuwa waliona madhara ya kumpa mwanamke uhuru ni kukaribisha uharibifu na ndio maana mfumo dume ulikuwa umetamalaki na ulitumika kuendesha na kusimamia familia nyingi miaka ile ya mababu zetu.

Hali iliopo sasa ni kwamba wanawake wamepewa ule uhuru ambao walikuwa wanaukosa wa kufanya wanavyojiskia. Kusoma, kufanya kazi na kujiendesha bila mipaka.Kimsingi mwanamke akishajiweza kiuchumi ni ngumu sana kuwa submissive.

Wako wanawake wachache ambao wamesoma na wana uchumi wao ila wana hulka za kike kiasili (submsissive) ambao hupenda wanaume na kuthamini uwepo wao kama viongozi. Hawa ndio huolewa na hujiskia huru zaidi kutii waume zao na wanaweza kudumu nao kwa kitambo kirefu katika maisha regardless ya changamoto zote.

Kundi lingine ndio wale ambao wao sio submissive huona wanaume kama kiburudisho. Mwanamke wa hivi hawezi kudumu na mwanaume isipokuwa watachezeana kwa muda flani akimkinai anamtaftia sababu anam dump anaendelea na mwengine au anaachwa kutokana na tabia zake za kiburi na ujeuri sababu ana pesa za kujimudu kimaisha, ana kazi nzuri so hataki kuwa kwenye control ya mwanaume. Hawa ndio wapo wengi sikuhizi na ndio maana hata wakiolewa huwa wanakaa mda mfupi kabla ya kukamatwa na case za infidelity. Akishatoka kwenye ndoa anakuwa free kuzagamuliwa hovyo na ndio unakuwa mtindo wake wa maisha. Anakuwa anahonga sana ili kupata type flani ya vijana wawe wapenzi ndio inaenda hivyo mwisho wanatupana cycle inaanza upya.
Umechambua vizuri, huo ndiyo uhalisia kwa sasa
 
Ni mtazamo tu. Je kuna utafiti wowote ulioufanya juu ya hili au ni story za vijiweni tu?
Binafsi kuna watu wawili nimeshuhudia wake zao wana mali za kurithi faida kedekede na wanawaheshim mno. .
Hili halina ubishi mkuu, mtoto wakike aliekulia kwenye maadili na pesa ipo kwao, magari na majumba kawaida huwa wanakuja kuwa wake wazuri sana mbeleni. Hawanaga ulimbukeni wa kishamba wa pesa yani wala pesa huwa haziwapelekeshi sababu wamekuwa wanaziona.

Shida ni hawa ambao wanazaliwa hadi wanakuwa baba hajawahi kumiliki hata boda boda ndio matatizo. Yani yeye kakulia kwenye nyumba ya kupanga hadi anavunja ungo ndio wanahamia kwao. Hawa wanawake wa hivi ndio akija kuajiriwa akaja shika tuhela akamiliki hata ka IST anataka aishi maisha fake na kujionesha kuwa anazo, ushamba mwingi na ujuaji, kuiga iga lifestyle za watu mitandaoni. Hata akipata mwanaume hawezi tulia sababu ushamba wa kutaka kujaribu kila kitu unamzonga.
 
Huwa wanakiburi sana kwa sababu ya pesa zao, mwanamke wa namna hiyo, huwezi ukafuliwa, kupikiwa inakuwa tabu, hata unyumba kunyimwa inakuwa sio shidaaana hujiona kama ni mabosi, tena usiombe ukapata mwenye kacheo kazini kwake anahamishia kacheo nyumbani. Kazi kwako
Hakika, kuna shida kubwa sana, wanawake wengi hawana utimamu wa akili, kama serikali ikiwa serious, iongeze hospital nyingi za kutibu afya ya akili
 
Back
Top Bottom