Bad luck.....
Bahati mbaya sanaaa......
Sijui wengine ndo wanaita ku balance maisha......
Hao wanawake ambao ni humble, well raised, well mannered, not after money fully package house wife material..........
Wanakutanaga au wanadondokeaga kwa wanaume mabandidu, makatili, haijui thamani ya mwanamke, mgomvi, wanaume wasiojali for no reason......😔😔😔😔
And vice versa, mwanaume ambaye anajua kupenda na hata akiwa na hela zake, humble anajali mkewe anajali watoto most of time at home, anapataga mwanamke wa hovyoooo......☹☹☹
Sijui ndo msemo wa the world is not fair...🤔🤔