Jeep rubicon
JF-Expert Member
- Jan 7, 2023
- 737
- 1,446
Bonge ya point mkuuHuyo wa hivyo ana asili ya kiburi tu. She is Egocentric. Hii ni character ya mtu regardless ana hela au hana yani but it becomes worst akiwa na hela na anaweza kuyatawala maisha yake.