Kwanini wanawake wenye pesa hawadumu kwenye ndoa, wengi wao ni single mothers

Kama kuna watu/mtu ana control dunia na mahusiano yake, walau angekuwa anabalansisha uwiano, kwamba huyu amkutanishe na huyu watadumu au watakaa, mkorofi amkutanishe na mkorofi wafundishane adabu.....

There's a lot he'll.....

May be kuwe na madalali ambao wanapata uhalisia wa mtu ke na me na kuwaunganisha sema hapo wanaokutanishwa kupendana kuje baadae kikubwa hulka zao kwanza.
Hii ukiifanya biashara unapiga hela mbona. Just connections tu!

Wako watu wametulia tunawajua, mfano mi nina rafiki anatafta mke wa kuoa yuko well of tu. Wanawake anaowapenda wengi miyeyusho wanamtumia tu. No love nimemwambia atulie kwanza tutafte mtu wa kueleweka taratibu
 
Naangalia tv program moja marriage at first sight, kuna professional match making exercise and feedback is some how impressive.

Inaweza ikawa ndiyo way forward, otherwise vijana wetu watateseka au turudi kwenye arranged marriages by parents
 
Yes ukioa wa hivyo utapata shida ila nilimaanisha tu kuwa wapo wanawake wasioingiza hata mia,wanategemea waume zao kwa kila kitu ila kiburi kimewajaa ila hayo hayo yakifanywa na mke alomzid mume hela inaonekana kibri cha pesa.
Huyo wa hivyo ana asili ya kiburi tu. She is Egocentric. Hii ni character ya mtu regardless ana hela au hana yani but it becomes worst akiwa na hela na anaweza kuyatawala maisha yake.
 
Naangalia tv program moja marriage at first sight, kuna professional match making exercise and feedback is some how impressive.

Inaweza ikawa ndiyo way forward, otherwise vijana wetu watateseka au turudi kwenye arranged marriages by parents
Arranged marriages zilidumu sababu ya mkazo kuwa there is no going back.

Wakiozeshwa mtoto wa kiume anawezeshwa na wazazi wake kiuchumi na wa kike anawezeshwa kimaadili. Hapo tatizo lolote litaripotiwa na mahakama ni wazazi suluhu ni guarantee. Hadi baadae mnazoeana mnakuwa mnaishi tu bila shida na watoto wanaogezeka tu.

Sikuhizi mtoto wakike akienda kuripoti kwao anaambiwa beba mabegi asikubabaishe huyo. Kwani yeye ni nani njoo kwenu hujaua mwanangu.
 
Anaona anakufanyia bonge la favor kukupanulia mapaja kila unapotaka so anatafta jinsi ya kukukomesha😀😀😀!

Hafui wala kupika na wengine wanajisifugi humu humu ati sifuagi kwa boyfrend kumbe ni livivu 🤣🤣🤣
Mi nachojua kila mwanamke ana mtu anayempenda kwa dhati na akiolewa na huyo atamfanyia kila kitu kinachofanywa na mke mwema.

Shida ni pale mwanaume anakua keshaathirika kisaikolojia sbb ya kuzidiwa pesa na mkewe.Kosa kidogo la mke kibao cha size ya mwizi ukiamin ukimlegezea atakutawala.
Unaacha kumdekeza mkeo ukiamin atakuona bushoke wakat kudekezwa ni haki ya kila mwanamke na angekua masikin ungemdekeza.
Mwishowe anakosa furaha anasepa sbb uwezo wa kusepa anao.
Hao wanaong'ang'ania ndoa no mara waaa,vipigo vyao, matusi ya michepuko yao,watoto wa nje waletewe walee,manyanyaso yao ,sio kama ni wema sana au sio kama.wanawapenda sana ni vile tu hawana pesa za kujitoa kwenye ndoa ziso na furaha.
 
Some people will say marriage is over rated....
Why do you marry a person in the first place.....!!?

Do you marry to make family, or do you really need a family?
Do you marry to have someone to live with at night cause you are a fraud of living alone...?
Do you marry someone to take care of you even if you ate capable of taking care of yourself?

Kunawengine wanapimana kwenye mahusiano kuwa huyu nikiumwa ataniuguza kweli...!!!???
Ask yourself, do you marry someone incase you get sick that one to take care of you?

It's a broad philosophy behind all these questions and sometimes the more you answer those questions you'll find yourself you changed your mind.....

Then one start to ask him/herself......!!!
Who am I....!!????

One need to know him/herself so as to be attached to someone and click well instead of clinging to the wrong person.
 
Arranged marriages zilidumu sababu ya mkazo kuwa there is no going back.

Wakiozeshwa mtoto wa kiume anawezeshwa na wazazi wake kiuchumi na wa kike anawezeshwa kimaadili. Hapo tatizo lolote litaripotiwa na mahakama ni wazazi suluhu ni guarantee. Hadi baadae mnazoeana mnakuwa mnaishi tu bila shida na watoto wanaogezeka tu.

Sikuhizi mtoto wakike akienda kuripoti kwao anaambiwa beba mabegi asikubabaishe huyo. Kwani yeye ni nani njoo kwenu hujaua mwanangu.
Kuna kitu hakipo sawa. May be IQ zetu ni ndogo kuliko za wazee wetu, uelewa wetu kuhusu ndoa upo kwenye fedha na ngono. May be tunajifanya wajuaji tunataka wanawake wenye muonekano mzuri wa nje (makalio na manyonyo) bila kuangalia yaliyomo ndani ya bichwa. Ni shida sana
 
Mwanamke mwenye pesa zake anaanzaje kukupelekea maji ya kuogea bafuni au kukutengea chai mezani?

Ndo ugomvi unapoanzaga hapo, Kila mtu anajikuta mwamba
Sio wote kama ambavyo sio wote makapuku wana tabia njema.

Naijua couple inaishi kwenye mansion ya mke,gari kila kitu cha mke ila huwezi kumuomba mke kitu chochote akakupa jibu limgine zaidi ya "Subiri kwanza niongee na baba fulani halafu nitakupa jibu".
 
Hii ukiifanya biashara unapiga hela mbona. Just connections tu!

Wako watu wametulia tunawajua, mfano mi nina rafiki anatafta mke wa kuoa yuko well of tu. Wanawake anaowapenda wengi miyeyusho wanamtumia tu. No love nimemwambia atulie kwanza tutafte mtu wa kueleweka taratibu

Hizo ndo connection sasa....

Na huyo rafiki yako pamoja na yeye anatafuta ila anahitaji watu waaminifu wanaomjali wasimpelekee pretenders....

Maana siku hizi watu wanaajiriwa kabisa kuwa hii ni fursa, nakupeleka pale ila uko kazini mwisho wa siku moyo wa mtu unakuwa rehani hasa siku atapokuja ujua ukweli.....

Kuna watu ni wabinafsi na wakatili wa mahusiano.....

He/she wants things he/she can not provide and he/she does not care.....😥😥
 
Naangalia tv program moja marriage at first sight, kuna professional match making exercise and feedback is some how impressive.

Inaweza ikawa ndiyo way forward, otherwise vijana wetu watateseka au turudi kwenye arranged marriages by parents

I prefer both ways, professional company match couple according to their behaviour intending to have happy life there after. And that company should be faithful even if a person comes with much money and wants connection of a person for misuse they should reject the offer.

Or parents marriage arrangements.
 
Some people will say marriage is over rated....
Why do you marry a person in the first place.....!!?

Do you marry to make family, or do you really need a family?
Do you marry to have someone to live with at night cause you are a fraud of living alone...?
Do you marry someone to take care of you even if you ate capable of taking care of yourself?

Kunawengine wanapimana kwenye mahusiano kuwa huyu nikiumwa ataniuguza kweli...!!!???
Ask yourself, do you marry someone incase you get sick that one to take care of you?

It's a broad philosophy behind all these questions and sometimes the more you answer those questions you'll find yourself you changed your mind.....

Then one start to ask him/herself......!!!
Who am I....!!????

One need to know him/herself so as to be attached to someone and click well instead of clinging to the wrong person.
Most people fall in a marriage trap kwasababu ya nyege na kuwa possessive.

Sexual gratification and other trivial matters kama uzuri, urembo na utamu ndiyo push factots.

in a sense, you mustn't do that, ukisha vichoka ndoa inakosa muelekeo.

Large part of my consideration is convenience, is she a person we can make a family, someone who can sail with me, thick or thin.

Unfortunately, those creatures are no where to be found
 
I prefer both ways, professional company match couple according to their behaviour intending to have happy life there after. And that company should be faithful even if a person comes with much money and wants connection of a person for misuse they should reject the offer.

Or parents marriage arrangements.
That's plausible way forward
 
Mi nachojua kila mwanamke ana mtu anayempenda kwa dhati na akiolewa na huyo atamfanyia kila kitu kinachofanywa na mke mwema.

Shida ni pale mwanaume anakua keshaathirika kisaikolojia sbb ya kuzidiwa pesa na mkewe.Kosa kidogo la mke kibao cha size ya mwizi ukiamin ukimlegezea atakutawala.
Unaacha kumdekeza mkeo ukiamin atakuona bushoke wakat kudekezwa ni haki ya kila mwanamke na angekua masikin ungemdekeza.
Mwishowe anakosa furaha anasepa sbb uwezo wa kusepa anao.
Hao wanaong'ang'ania ndoa no mara waaa,vipigo vyao, matusi ya michepuko yao,watoto wa nje waletewe walee,manyanyaso yao ,sio kama ni wema sana au sio kama.wanawapenda sana ni vile tu hawana pesa za kujitoa kwenye ndoa ziso na furaha.
Hili naweza agree atleast for the first paragraph. Most Men are too blind to see mwanamke anayependa anafananaje. Laiti wangelijua hili control ingekuwa rahisi but still kunabakia Gap.

Je, huo upendo wa dhati hauko attached kwa hela na material stuffs anazomiliki huyo mwanaume?

Ni kweli wanaume huenda wameathirika kwa kudhani kila mwanamke mwenye pesa ni kiburi ila turudi kwenye tafsiri ya kiburi kuwa ni extremely being selfish to the extent ya ku ignore other peoples feelings.

Naamini kiburi ni tabia ya mtu. Ipo kabla hata ya pesa
 
Most people fall in a marriage trap kwasababu ya nyege na kuwa possessive.

Sexual gratification and other trivial matters kama uzuri, urembo na utamu ndiyo push factots.

in a sense, you mustn't do that, ukisha vichoka ndoa inakosa muelekeo.

Large part of my consideration is convenience, is she a person we can make a family, someone who can sail with me, thick or thin.

Unfortunately, those creatures are no where to be found

Those creatures are available in this world, only that connection is missing....

Na ikitokea umekutana na creatures ya namna hiyo (wife/husband material)...

Unakuta alishatendwa, kavurugwa na wakulungwa, hana matumaini tena, ukiamua kuendelea nae utafika ila utakuwa na kazi kubwa sana ya kumrejesha kwenye hali yake ya kawaida.....

Saa nyingine maisha sio kabisa.
 
Back
Top Bottom