Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Honestly, nisingeweza kuwa nae tena kwasababu amevunja IMANI yangu juu yake tena ile imani ya mwanzo ambayo haikuwa na mawaa wala unafiki ndani yake...ili niyafurahie maisha yangu sina budi kumkwepa kama ukoma[emoji16]
sawa best nafikiri pia amekuelewa #Thad
 
Nilishatimiza amri ya mapendo kwa kumsamehe, inatosha. Nilimpenda sana hilo siwezi kukataa ila machozi yangu yalifuta mapenzi yote niliyokuwa nayo kwake.
Nasemaje kama uko single msamehe mrudiane, upendo unamanisha kusimama namtu hata katika wakati ambao anajiona hafai na dunia imemtenga yaan kumpenda mtu nakumuamin hata katika wakat ambao anafanya jitihada za kuifanya dunia imuamin na impende.
 
Kama huna mme olewa naye tu, maake ulivyokubali toba tu Mungu kamhesabia haki, maisha ndivyo yalivyo.
 
Nasemaje kama uko single msamehe mrudiane, upendo unamanisha kusimama namtu hata katika wakati ambao anajiona hafai na dunia imemtenga yaan kumpenda mtu nakumuamin hata katika wakat ambao anafanya jitihada za kuifanya dunia imuamin na impende.
Dunia haijamtenga yeye tu ndo anajishtukia. Naamini mkewe bado ana mpenda kama kweli aliolewa naye kwa mapenzi.
 
Najiona nikifanya alichofanya huyo mshkaji soon
 
Fikiri, ati mwenzie aliyeipindua serekali yake kaolewa na aliyemkimbia ati kazaa mtoto wa kiarabu.
Mpaka atamanishe mwarabu wadhani ni kapuku?? Pole sana, ulishazidiwa ki umbo na sura ukaachwa solemba hapo. Lia kimya kimya kwani ni wewe ulimpeleka mwenzio aliyekuzidi kila nyanja. Ugulia maumivu tu lakini jamaa kama alikurudia ni kukumbukia kiporo tu kabla hakija chacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…