Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?


mda mingine unaongeaga point ee
 
my dear mimi ni muumini sana wa kuweka mbele tabia za mpenzi wangu ikiwemo tu kumpa raha na kama sitapata matatizo.mimi sio lazima nni enyoy ila kama yeye ata enjoy na mimi sitadhurika basi nafanya kati ya kila kitu hapo nimeona tigo ndo nadhurika ufirauni mwingine wote naufanya hahha😂😂😂
 
Last edited by a moderator:
narudia tena kama kina madhara kwamk usifanye sidhani kama ni busara kujiumiza au kupata madhara kwa ajili tu ya kumfuraisha mwenzako
 
kweli mume wako anaweza akaomba unyumba kinyume na maumbile na huyo ni mume wako kabisa??

jibu la kwanza na ni sahihi kabisa ni ndio....na jibu la pili na nisahihi kama la kwanza ni hapana....ila hapa inategemeana na mazingira ya penzi lenu lilikoanzia.....pia inategemeana na ntu na ntu.

Ukitaka ufafanuzi zaidi wa majibu yangu njoo pm.
 

imeandikwa....mke hana mamlaka juu ya mwili wake isipokuwa mmewe..vivyo hivyo mume hana mamlaka juu ya mwili wake isipokuwa mkewe...
Pia imeandikwa musinyimane bali peaneni kwa nafasi......
 
kweli mume wako anaweza akaomba unyumba kinyume na maumbile na huyo ni mume wako kabisa??

kweli nimeamini wewe ni queen of controversies .....una mada tata sana zenye kuhitaji high inteligent quotient...for this am falling to like you......big tyme.
 
Kweli mume wako anaweza akaomba unyumba kinyume na maumbile na huyo ni mume wako kabisa??

Ndio maana tunaambiwa tuchunguzane sana kabla hatujafikia hatua ya ndoa. Mume mwema atokae kwa bwana kamwe HAWEZI FANYA KITU HIKI! Kama wako kataka kufanya hivi, HUYO HAJATOKA KWA MUNGU. PERIOD
 
imeandikwa....mke hana mamlaka juu ya mwili wake isipokuwa mmewe..vivyo hivyo mume hana mamlaka juu ya mwili wake isipokuwa mkewe...
Pia imeandikwa musinyimane bali peaneni kwa nafasi......

umetafsiri vibaya na kiuzushi.
rekebisha maana ni dhambi kufanya hivo
 
Inawezekana
Kama aliweza kukushawishi ukakubaliana kuishi naye iweje ashindwe kukuomba kile anachohisi ni sahihi kwake?
 
hapana mkuu sikihusudu na wala sikifikiriii kukifanya .. ninsababu ya kufanya hivi

Lakini nadhani unachokisema sicho unachokiishi! Nakuona kama ni kinara wa nyuzi zinazoshabikia ushoga, usagaji na mambo kama hayo! Waswahili walisema aisifuye mvua imemnyea! Hali kadhalika kwa mwenye Uzi Masai Dada nadhani mvua imeshamnyea (samahani kama sivyo). Biblia inasema kinywa cha mtu hunena yaliyoujaza moyo wake! Uzi wa Masai Dada wa mwaka Jana kuhusu punyeto na usagaji unaonyesha mambo yaliyoujaza moyo wako! Usinielewe vibaya sikulaumu lakini naona kama vile kuongelea uchafu huu kunahamasisha na kupromote matendo haya machafu, si unaona watu wanavyoshabikia?

Nilichokiona kwa nyuzi zako na post zako na za watu wengi ni kuwa dhambi ya ushoga na usagaji imeota mizizi kuliko wengi wanavyofikiri na vijana wanashabikia bila kujua madhara yake kwa wahusika na jamii!

Acha tuuseme ukweli bila kupaka rangi! Ukiruhusu kufirwa jiandae kujinyea baada ya misuli ya mkundu kulegezwa, wengine wanasema marinda kupigwa pasi!

Yaani baada ya muda mavi yanajitokea tu na wahusika wanakuwa wateja wa kudumu wa nepi/pumpers!

Kama ni mwanamke wakati wa kujifungua hawezi kusukuma mtoto, maana kila akifanya hivyo mavi yanamtoka maana nguvu yake yote ya kusukuma inaishia kutoa mavi, mavi yakiisha utumbo Mkubwa unatoka, ni hatari sana! Ndiyo maana huwa wanajifungua kwa operation!
Vijana na watoto msijaribu, kuna watu walishaharibikiwa tayari, na wanataka wengine waharibikiwe pia! Kama wazungu walivyoharibikiwa na wanataka uharibifu huu uenee dunia nzima!
Utakuta mtu anaongelea ufirauni huu kama kitu kizuri vile! Hivi kinyaa mnapeleka wapi? Kama si kupagawa mashetani ni nini? Dume au
Jike zima kujinyea halafu ndio unakuwa mtindo wa maisha mpaka kifo! Fikiri kabla hujajitumbukiza kwenye uchafu huu!

Suluhisho ni kuomba msamaha wa Mungu ili kama tayari umeshanaswa na uchafu huu ili uokoke
Cc Masai Dada.
 
Aisee mkuu umeongea la maana sana. Ni kweli suluhisho ni kumuomba msamaha mungu
 
najua madhara ya tigo ndo maana nimeuliza kwa mshangao mkubwa hivi hata mume wako anaeza kukuomba
 
nimeweka wazi kuwa naongea hayo nikiwa na sababu maallumu.. ma si kwamba nafanya hayo makitu.. asante kwa ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…