tatizo sio uhalali tatizo ni je hii hali inaashiria nini??Swala si wapi anafanya na wapi halifanyi!! Swala hilo halina uhalali kwa yeyoto yule awe mke au mwingine.
Aisee mkuu umeongea la maana sana. Ni kweli suluhisho ni kumuomba msamaha mungu
aaaah kuzama chumvini sawa lakini kula mgongo duh!
Story ni nzuri na inafundisha sana... hata kama ni ya kutunga lakini maudhui yake yana faida kwa jamii. Nawashangaa wanaoiponda eti kisa ni ya kutunga... mbona za kina shigongo mnazifurahia ?. Asante mleta mada kwa funzo.
Kuna kitu nimejifunza hapa
ahaaaa watu wanagawa sana tgo yaan