Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Swala si wapi anafanya na wapi halifanyi!! Swala hilo halina uhalali kwa yeyoto yule awe mke au mwingine.
 
Aisee mkuu umeongea la maana sana. Ni kweli suluhisho ni kumuomba msamaha mungu

Si tu kuishia kumuomba Mungu msamaha pekee bali pia kujitahidi kwa nguvu na akili zako zote kutorudia hayo matendo maovu na machafu (kama ulishayaanza) na kuyakemea kwa wale wanayoyaendeleza ktk jamii zetu zinazotuzunguka..
 
Story ni nzuri na inafundisha sana... hata kama ni ya kutunga lakini maudhui yake yana faida kwa jamii. Nawashangaa wanaoiponda eti kisa ni ya kutunga... mbona za kina shigongo mnazifurahia ?. Asante mleta mada kwa funzo.

Tunaiponda kwa sababu ni story inayopotosha. Ni ya uongo na inayopotosha. Kwa sababu.
1. Kuziba kwa njia ya mkojo kwa wanaume ni tatizo ambalo lipo sana wala halihusiana moja kwa moja na huo mchezo.

2. Hakuna daktari mjinga anaye weza ku associate huo ugonjwa na mchezo kw kuruka ukuta moja kwa moja.

3. Hata kama unafanya huo mchezo chembe chembe za mavi haziwezi kuingia kwenye mrija wa mkojo hadi zikajikusanya na kusababisha mrija kuziba kwa sababu wakati wa tendo shahawa husafisha njia kwani zinatoka kwa nguvu. Vile vile unapokojoa mkojo hutoka kwa nguvu hivyo kama kuna chembe chembe yoyote kwenye njia ya mkojo itatoka tu. Kinacholeta athari ni maambukizi ya vimelea mbalimbali ambavyo husababisha U.T.I na mwisho wa siku kuziba kwa mirija ya mkojo.
 
duu hatari sn watu warudi kwenye misingi ya halali ili kuepuka matatizo
 
Dah ila wanawake wana roho nyepesi sana ya kusamehe.. Vp ww kidume umeoa mwanamke mzur alafu ndan ya safar unagundua mkeo n mfilwaji what will u do?
 
Mhhhhhhh..luv una moyoooo.kama si kuliweka hilo jaribu kwenye maombi hakyanani tena ungekuwa segerea sasa hvi na huu uzi tusingeusoma leo.all in all lazima usamehe ili Mungu akuinue
 
Umenifundisha kitu kikubwa sana katika maisha yangu. Nashukuru kwa kuuleta huu uzi
 
duh nyie mnaebisha naombeni kwanza tufanye udadisi kuhusu haya mambo kiundani na tusipende kubisha vitu ambavyo hatuvijui,mimi mwenyewe nilikuwa master wa kula tigo nilikuwa napga hata mara 2 kwa sku bt niliwah kuelimika nikaacha kabisa kula 0715...! ila nilisafishwa na niliteseka kwa miezi 8 na hatimaye nimepona kabisaa,thanx god 4 dat.
 
mtoa mada muongo sana mm kwasasa nina muda wa miaka 19 nakula mgongo sijapata tatizo lolote na tena nipo safi, mtoa mada itakuwa hana makalio madogo anaonea wenzake gere wenye makalio makubwa.
 
Haya! waliokuwa wakifanya hivyo kwa karne zilizopita adhabu yao ilikuwa ni kuangamizwa!! tahadhari sn
 
Back
Top Bottom