Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Pole sana...
Kwa maelezo yako wewe ndiyo uliyeanza kuutaka huo mchezo na ukajaribu mpaka sasa umenogewa na kuuzoea...

Tatizo lako lipo ki-psychologia zaidi... Ni kama kulamba madawa ya kulevia huku ukijipa moyo utaacha...

Cc: mahondaw
 
Aiseee. Pole sana ila inaanza na wewe. Achana na huyo fedhuli
 
Usijali.. Kutambua na kukubali tatizo ni mwanzo wa solution

Mungu akusaidie ukamshinde ibilisi na janga lake hilo


Cc Smart911
 
Ushasema umenogewa sasa unataka tukushauri nini tena.
Endelea kunogewa.
 
pale mwenza ananitisha kuniacha.
Anzia hapa,acha kuogopa kuachwa,
Huyo ni mtu/binadamu anaweza akafa akakuacha.
anaweza akaamua kukuacha tu,ilimradi ameishakuchezea
vya kutosha.Tambua thamani yako,na huyo mwenza
wako kama anakuthamini ,ataheshimu utu wako.

Alafu tambua kuwa huyo mtu wako
kama anakutishia maana yake
hata siku ya kwanza haikuwa bahati
mbaya,bali ni mazoea yake.
Amekuambukiza hiyo roho.
Rudi kwenye maombi wakusaidie uikatae.
 
ifike mahala watoto wa kike mjitambue kamwe usifanye kitu kwa kumfurahisha mtu au kuogopa kuachwa. bora kama kitu unapenda ufanye kufurahisha nafsi yako ili badae usipate majuto. hawa viumbe hawaridhiki ng’oo hata uwape tundu ulilolivumbua we mwenyewe! tena jindae kuvurugwa zaidi hapo rinda litapoisha na ye kusepa
 
Jamani naomba kuuliza maana nimetokea kujilaumu sana kujaribu hiki kitendo. Mimi ni mtu nlielelewa kidini na kimaadili sana ila tangu nimeanza chuo nimejikuta najaribu vitu tofauti ambavyo sikufanyaga nkiwa nyumbni. Kimoja wapo ni hiki ambacho kilitokea nkiwa na mpenz wangu ambae nipo nae hadi sasa tukiwa tunapoozeshana iliingia kunako kibahati mbaya(alikua amelewa) ila aliendelea kunifanya nkajikuta nanogewa na kupenda. Imekua mchezo wa mara kwa mara na mbaya zaidi nkiwa nasali au nkiwa kawaida nakuta na regret nakujilaumu kwanini nafanya ivo na najua fika ni dhambi isio sameheka.
Naombeni ushauri maybe utanifariji au kunibadilisha mana najaribu kuacha siwezi hasa pale mwenza ananitisha kuniacha.
Endelea kufanya tu,,maan wanasema mlango mmoja ukifugwa mwingine utakua wazi,,...
 
Jamani wakuu,member mwenzetu anaonesha kujutua vibaya sana sana na huo mchezo,ni jukumu letu kumshauri na kumtia moyo,kama asingesema yeye mwenyewe hapa tusingejua,ameamua kusema baada ya kuguswa na dhambi kubwa na mbaya sana sana,anaonesha kujuta,hakuna dhambi isiyosameheka kwa Muumba kama bado uko hai na ukaleta toba ya ukweli hasa.Ni wajibu wetu kumshauri vyema na kumtia moyo na siyo kumsakama. Ni wengi sana humu wake kwa waume wanafanya huo mchezo lakini hawaungami na kukiri kwa sababu hawako tayari kuuacha. Ujana ni mtihani sana kwani ni kipindi cha majaribu.
Tumtie moyo wakuu
 
Yaani first time ikapenya tu bila resistance yoyote? Haya bwana, naona umeamua kusema ya moyoni kwa kutudanganya.
Hajielewi huyu, nina wasiwasi ni Me anatafuta majibu ya maswali yake kichwam
 
Wanakuzibua mtalo unasingizia jamaa alilewa? Sasa Kama alilewa ina maana nawewe ulilewa mpaka usijue kama mwenzio kapotoka?

Unapenda huo ushetani endelea kuzibuliwa mtalo tu
 
Back
Top Bottom