Kwanini wapambania haki Mitandaoni wana lugha Kali sana na matusi kwa wengine?

Gengis Khan wa Jf

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2024
Posts
1,311
Reaction score
3,344
Chunguza kuanzia Jf , X , IG na kwengineko ni watu ambao hawana uvumilivu na lugha nzuri katika majadiliano una weza ukaandika mada mtu anakuja na matusi moja kwa moja sasa usiombee mpishane mitizamo katika hoja unaambulia matusi au wanakublock.

Mimi binafsi naona mtu anayekimbilia matusi kwa namna yeyote ile kwenye mijadala bado hana ukomavu wa akili au hakupata elimu na Maarifa sahihi.

Inakuwaje unapambania uhuru na haki wakati hathamini uhuru na haki ya mwenzako?
mnataka wote muwe sawa badala ya kujadiliana kistaarabu na kujenga hoja ukiona hakuelewi si simple unamuacha na maisha yake aamini anavyotaka ?
 
Hili ni tatizo kubwa sana linatia najisi
 
wanaowakosoa wanaishia kutekwa,kufirwa na kuuwawa ..hio kwenu ni sawa au sio.
 
Kuna muda Chawa wanakela, yaani mambo yako wazi kabisa lakini mnakuja na propaganda mashudu. Utasikia "Rais Samuya ni miongoni mwa Marais wenye nguvu Duniani", haaaaaaa!.

Au kupe mwingine anakuja na mada, "tuilinde amani yetu". Unajiuliza, unawezaje kulinda amani huku umeshika mtutu wa bunduki na unateka wananchi wako?, pathetic.
 
mnataka wote muwe sawa badala ya kujadiliana kistaarabu na kujenga hoja ukiona hakuelewi si simple unamuacha na maisha yake aamini anavyotaka ?
Haya maelezo mazuri yafikishe hivyo hivyo mezani kwa wauaji JK na Samuya walioua maelfu ya wananchi
 
Na nyinyi mbona mnatetea wahuni wanaotumia mgongo wa maandamano kupora , kuiba na kuharibu mali za Umma ?
Maandamano yenye watu wengi sabotage ni lazima,hakuna mtu aliiba kitu Cha mtu ambaye hana affiliation na CCM,ni sehemu ya hasira za waandamanaji.
Hata kama waliiba haiwapi haki ya kuwaua na kuwatupa Kondo,lazima uhai wa mtu utetewe
 
KWA MAZINGIRA YA SASA GEN Z WAKITANGAZA MAANDAMANO HATA KAMA HAWATAFANYA, VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA LAZIMA VIWEKE LOCK -DOWN.

KUWEKA LOCK-DOWN MAANA YAKE NI KUKWAMISHA SHUGHULI NYINGI ZA KIUCHUMI; UTALII UNADORORA ZAIDI, BANDARI KUNASIMAMA, USAFIRI WA ANGANI NA ARDHINI UNADORORA ZAIDI NA MAPATO YA SERIKALI YANAPUNGUA.
 
Back
Top Bottom