Hebu soma tena anachouuliza, na uzuri hajasema anamtetea nani? au kafanya nini?Hapo itabidi uje na mfano halisi tuchambue kwamba hicho unacjoita matusi ni matusi kweli?
Kwa mfano, jitu shenzishenzi tu, linatetea mauaji kwa maslahi yake binafsi bila ustaarabu.
Ukisema huyu ni mtu mshenzi, hapo umemtukana au umesema kweli kwamba huyu mshenzi tu?
Kama mtu anakutukana bila sababu, kwa mfano una hoja ila hajibu hoja anakushambulia wewe binafsi bila kujibu hoja, mseme tu kuwa hiyo ni ad hominem attack.
Mimi nafanyiwa hivyo kila mara hapa, kushambukiwa binafsi badala ya kujibiwa hoja, na nasema, hii hapa ni ad hominem attack, logical fallacy.
Hakuna wiki moja itakayopita bila mimi kusema hapa hujajibu hoja yangu unanishambulia binafsi, ad hominem attack.
Ika, leo nikisema viongozi wa Tanzania ni washenzi wauaji, hapo nimesema ukweli tu.
Matusi ni nini?Hebu soma tena anachouuliza, na uzuri hajasema anamtetea nani? au kafanya nini?
Yeye anasema kwanini tukipisha mawazo tunaambilia matusi binafsi, na hii inaweza kuwa hata inakuhusu wewe kama unavyosema unashambuliwa na watu humu kama ukikinzana mawazo, na hili ndio tabia ya asilimia kubwa ya wachangia humu, ukimshindwa hoja au akiaanza kuona unaufahamu zaidi na jambo kuzidi ufahamu wake, suluhisho anaona ni kukutukana tu
Sihitaji kujipa moyo wakati kila mtanzania anajua yalivyowakuta watu wenye papara na mihemkoendelea kujipa moyo ni hak yako
NI sawa tu acha wakutukane kama wewe ni wale mnaotetea au kufanya madhalimu nchini.Chunguza kuanzia Jf , X , IG na kwengineko ni watu ambao hawana uvumilivu na lugha nzuri katika majadiliano una weza ukaandika mada mtu anakuja na matusi moja kwa moja sasa usiombee mpishane mitizamo katika hoja unaambulia matusi au wanakublock.
Mimi binafsi naona mtu anayekimbilia matusi kwa namna yeyote ile kwenye mijadala bado hana ukomavu wa akili au hakupata elimu na Maarifa sahihi.
Inakuwaje unapambania uhuru na haki wakati hathamini uhuru na haki ya mwenzako?
mnataka wote muwe sawa badala ya kujadiliana kistaarabu na kujenga hoja ukiona hakuelewi si simple unamuacha na maisha yake aamini anavyotaka ?
Hakika nyani haoni kundule..🤣🤣🤣Chunguza kuanzia Jf , X , IG na kwengineko ni watu ambao hawana uvumilivu na lugha nzuri katika majadiliano una weza ukaandika mada mtu anakuja na matusi moja kwa moja sasa usiombee mpishane mitizamo katika hoja unaambulia matusi au wanakublock.
Mimi binafsi naona mtu anayekimbilia matusi kwa namna yeyote ile kwenye mijadala bado hana ukomavu wa akili au hakupata elimu na Maarifa sahihi.
Inakuwaje unapambania uhuru na haki wakati hathamini uhuru na haki ya mwenzako?
mnataka wote muwe sawa badala ya kujadiliana kistaarabu na kujenga hoja ukiona hakuelewi si simple unamuacha na maisha yake aamini anavyotaka ?
Ohoooo!!!Hakika nyani haoni kundule..🤣🤣🤣
Sisi ni ww uliekuja kwenye uzi Wangu wa kumshukuru kurudi Kwa Erythrocyte na kuniuliza Kwa kejeli kwamba ni MMEO?!