Gengis Khan wa Jf
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 1,311
- 3,344
Hili ni tatizo kubwa sana linatia najisiChunguza kuanzia Jf , X , IG na kwengineko ni watu ambao hawana uvumilivu na lugha nzuri katika majadiliano una weza ukaandika mada mtu anakuja na matusi moja kwa moja sasa usiombee mpishane mitizamo katika hoja unaambulia matusi au wanakublock.
Mimi binafsi naona mtu anayekimbilia matusi kwa namna yeyote ile kwenye mijadala bado hana ukomavu wa akili au hakupata elimu na Maarifa sahihi.
Inakuwaje unapambania uhuru na haki wakati hathamini uhuru na haki ya mwenzako?
mnataka wote muwe sawa badala ya kujadiliana kistaarabu na kujenga hoja ukiona hakuelewi si simple unamuacha na maisha yake aamini anavyotaka ?
wanaowakosoa wanaishia kutekwa,kufirwa na kuuwawa ..hio kwenu ni sawa au sio.Chunguza kuanzia Jf , X , IG na kwengineko ni watu ambao hawana uvumilivu na lugha nzuri katika majadiliano una weza ukaandika mada mtu anakuja na matusi moja kwa moja sasa usiombee mpishane mitizamo katika hoja unaambulia matusi au wanakublock.
Mimi binafsi naona mtu anayekimbilia matusi kwa namna yeyote ile kwenye mijadala bado hana ukomavu wa akili au hakupata elimu na Maarifa sahihi.
Inakuwaje unapambania uhuru na haki wakati hathamini uhuru na haki ya mwenzako?
mnataka wote muwe sawa badala ya kujadiliana kistaarabu na kujenga hoja ukiona hakuelewi si simple unamuacha na maisha yake aamini anavyotaka ?
Na nyinyi mbona mnatetea wahuni wanaotumia mgongo wa maandamano kupora , kuiba na kuharibu mali za Umma ?Si bora wao wanaotukana, nyie mnaoteka wanaowakosoa?
Kutaka Amani sio uchawaMada za kichawa utachangiaje kwa hoja?!
Machawa ni maviazi pimbi bogus pumpkin heads
Na yoyote anaeshirikiana na chawa nae ni kiazi...
Haya maelezo mazuri yafikishe hivyo hivyo mezani kwa wauaji JK na Samuya walioua maelfu ya wananchimnataka wote muwe sawa badala ya kujadiliana kistaarabu na kujenga hoja ukiona hakuelewi si simple unamuacha na maisha yake aamini anavyotaka ?
Mbona nyie mnatetea wahuniNa nyinyi mbona mnatetea wahuni wanaotumia mgongo wa maandamano kupora , kuiba na kuharibu mali za Umma ?
Maandamano yenye watu wengi sabotage ni lazima,hakuna mtu aliiba kitu Cha mtu ambaye hana affiliation na CCM,ni sehemu ya hasira za waandamanaji.Na nyinyi mbona mnatetea wahuni wanaotumia mgongo wa maandamano kupora , kuiba na kuharibu mali za Umma ?
Kutaka haki je?Kutaka Amani sio uchawa
Huna akiliUpuuzwe ni mbogamboga.