Kwanini wapambania haki Mitandaoni wana lugha Kali sana na matusi kwa wengine?

Hebu soma tena anachouuliza, na uzuri hajasema anamtetea nani? au kafanya nini?
Yeye anasema kwanini tukipisha mawazo tunaambilia matusi binafsi, na hii inaweza kuwa hata inakuhusu wewe kama unavyosema unashambuliwa na watu humu kama ukikinzana mawazo, na hili ndio tabia ya asilimia kubwa ya wachangia humu, ukimshindwa hoja au akiaanza kuona unaufahamu zaidi na jambo kuzidi ufahamu wake, suluhisho anaona ni kukutukana tu
 
Matusi ni nini?

Unajuaje huyu ananitukana matusi kuniambia mshenzi na huyu anasema ukweli kuwa mimi mshenzi kwa kuwa ni mshenzi kweli?

Hii hoja bila mfano halisi inaweza kuwa inaweza kuongelea matusi kama sehemu ya kupinga uhuru wakati matusi nayo ni sehemu ya uhuru wa kujieleza.

Ukimwita chawa "wewe chawa tu" hapo umemtukana au umemwambia ukweli tu kuwa yeye chawa?
 
Kama.mmoja anajiita sativa anatukana matusi ya nguoni kabisa
 
NI sawa tu acha wakutukane kama wewe ni wale mnaotetea au kufanya madhalimu nchini.
1. Mnaua
2. Mnateka
3. Mnaiba mali za uma
4. Mnaiba uchaguzi
5. Mnadharau wananchi
6. Mnauza nchi.

Acha watoe hasira kwa kuwatukana. Matusi yamewekwa kwa ajili ya kushushia hasira.
 
Na utatukanwa sana kama usipoacha kujiheshimu wewe na machawa wenzio
 
Hakika nyani haoni kundule..🤣🤣🤣
Sisi ni ww uliekuja kwenye uzi Wangu wa kumshukuru kurudi Kwa Erythrocyte na kuniuliza Kwa kejeli kwamba ni MMEO?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…