Yesu na Lazaro, imani ya kijinga ni kuwa mfuasi wa mtume aliye kaburini..........Yesu tumaini letu hayuko kaburini anaishi na atatufufua na sisi wafuasi wake kwa ajili ya maisha ya utukufu.Nitajie marehemu wawili tu, wanaofahanika waliokufa na wakafufuka, mnaishi kwenye imani za kijinga sana
Ndugu zetu katika Kristo watafufuliwa na Yesu kwa ajili ya maisha ya utukufu...Bado nipe jina la ndugu yako alie fufuka kwa sababu mmechelewa kumzika?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
We kichaa jibu swali unalo ulizwa babu yako alifufuka mlivyo chelewesha kumzika?Ndugu zetu katika Kristo watafufuliwa na Yesu kwa ajili ya maisha ya utukufu...
Hiyo ya joto wanaongopa Yesu baada ya kufa kakaa siku ngapi ndio akazikwa
Hao ni wakurupukaji tu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yesu aliwaishwa kuzikwa kwa sababu ya ujio wa sabato na pasaka.Yesu baada ya kufa kakaa siku ngapi ndio akazikwa
Kuwahi kuzika ndio busara zaidi kuliko kukaa na kiumbe kisicho hai ndani unataka kifanyaje humo kwenye jokofu kizae au?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Any justification of Word Of God must be revealed by Holly Spirit of Yahwen.Unajua kwa nini alizikwa siku ile ikiwa husomi biblia, unataka kumjua Yesu kwa kusoma kurani......unapotea ndugu.
kama ni talatibu za wasrabu basi ninzuli zinafaa kuigwa kwa sababu haki mtu akisha kufa na kuwa mzoga haki yake ya msigi ni kuzikwa tuNi kwa utamaduni wa waarabu uliopenyezwa kwenye dini ya kiislam.
Hata marais wa kiislam wanazikwa ndani ya Masaa kadhaa tu, masaa 24 hayapiti.
akili zako ziko chini kama kibataliNa kweli hili lilikuwa relevant enzi hizo ambapo hakukuwa na mechanisms za kuhifadhi miili kwa muda mrefu.......unaweza kujikuta unazika mtu ambaye kazimia tu hajafa, haraka ni ya nini hasa?
Kwani si wange muondoa msalabani na wange muweka nyumbani ili tuje kumuwagaYesu aliwaishwa kuzikwa kwa sababu ya ujio wa sabato na pasaka.
Wayahudi waliona anachelewa kufa , wakampiga mkuki akiwa msalabani (lakini alikuwa ameshakufa ) , wale wengine aliosulubishwa nao - walivunjwa miguu . Hii yote , ni ili sabato na pasaka ambazo ni sikuu mbili zilizoheshimiwa sana na wayahudi zisije kuwakutia msalabani
Yohana 19:31 " Kwa kuwa ilikuwa siku ya Maandalizi ya Pasaka Wayahudi hawakutaka miili yao ibaki msalabani siku ya sabato. Hii ingekuwa sabato ya pekee kwa kuwa iliangukia wakati wa Pasaka. Wakamwomba Pilato aamuru miguu ya wale waliosulubiwa ivunjwe ili wafe upesi waondolewe msalabani. "
Kwa sababu hakukuwa na teknolojia ya kutunza maiti , kwa kuhofia ataozaKwani si wange muondoa msalabani na wange muweka nyumbani ili tuje kumuwaga
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
So nyie mnachelewa kuzika kwa kumfuata nani ikiwa Yesu wenu tu kawaishwaKwa sababu hakukuwa na teknolojia ya kutunza maiti , kwa kuhofia ataoza
eeh bwana uwasamehe kwa maana hawajui walitendalo.Umesahau kukamua maana inachelewesha
Acha kuwa na akili finyuSo nyie mnachelewa kuzika kwa kumfuata nani ikiwa Yesu wenu tu kawaishwa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hiyo ya joto wanaongopa Yesu baada ya kufa kakaa siku ngapi ndio akazikwa
Hao ni wakurupukaji tu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnachelewa kuzika kwa mafundisho ya naniAcha kuwa na akili finyu
Hivi kumuiga mwenye akili kutembea au kupiga mswaki kutakufanya kuwa na akili kama yeye?
Kuna mambo muhimu ambayo ni ya kiroho
Mtu akifa amekufa teknolijia imeendelea kuna vitu vinapimwa kwa mtu kama havipo maana mtu ameshakufa haiwezekani mtu kuwa alizikwa hai labda kama walikusudia ila kuna vipimo ukifanya ukikuta haviko sawa tu uje mtu tayari ameshakufaKuna uchunguzi ulifanyika sikumbuki ni nchi gani lakinj waligundua kuna baadhi ha watu walizikwa wakiwa hai ikizaniwa wamekufa na sababu yao kusema hivi ni kukuta ndani ya jeneza kuna mikwaluzo kama mtu alisota wakati anatafuta namna ya kutoka na pia mabaki ya mwili hayakuwa kwenye uelekeo ambao mwili ulivyozikwa mara ya kwanza
Biblia si ni ya juzi tu, kwani kabla ya biblia walikuwa wanafuata taratibu zipi?tatizo hasa wakiristo wanataka watu wote wafuate wanavio amini wao jambo ambalo aliwezekani hata kwenye biblia hakuna andiko lanalo sema mtu akifa awekwe mochwali kisha waandae maipika kisha wacheze mziki wanywe walewe kisha mzoga huo wausafirisha bali wanatumia talatibu za kipagani tu