Kwanini Wapemba wakifiwa Marehemu atazikwa siku hiyo hiyo hata kwa Tochi, Chemli na Taa za Magari?

Kwanini Wapemba wakifiwa Marehemu atazikwa siku hiyo hiyo hata kwa Tochi, Chemli na Taa za Magari?

Nitajie marehemu wawili tu, wanaofahanika waliokufa na wakafufuka, mnaishi kwenye imani za kijinga sana
Yesu na Lazaro, imani ya kijinga ni kuwa mfuasi wa mtume aliye kaburini..........Yesu tumaini letu hayuko kaburini anaishi na atatufufua na sisi wafuasi wake kwa ajili ya maisha ya utukufu.
 
Hiyo ya joto wanaongopa Yesu baada ya kufa kakaa siku ngapi ndio akazikwa

Hao ni wakurupukaji tu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yesu baada ya kufa kakaa siku ngapi ndio akazikwa

Kuwahi kuzika ndio busara zaidi kuliko kukaa na kiumbe kisicho hai ndani unataka kifanyaje humo kwenye jokofu kizae au?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yesu aliwaishwa kuzikwa kwa sababu ya ujio wa sabato na pasaka.
Wayahudi waliona anachelewa kufa , wakampiga mkuki akiwa msalabani (lakini alikuwa ameshakufa ) , wale wengine aliosulubishwa nao - walivunjwa miguu . Hii yote , ni ili sabato na pasaka ambazo ni sikuu mbili zilizoheshimiwa sana na wayahudi zisije kuwakutia msalabani

Yohana 19:31 " Kwa kuwa ilikuwa siku ya Maandalizi ya Pasaka Wayahudi hawakutaka miili yao ibaki msalabani siku ya sabato. Hii ingekuwa sabato ya pekee kwa kuwa iliangukia wakati wa Pasaka. Wakamwomba Pilato aamuru miguu ya wale waliosulubiwa ivunjwe ili wafe upesi waondolewe msalabani. "
 
Unajua kwa nini alizikwa siku ile ikiwa husomi biblia, unataka kumjua Yesu kwa kusoma kurani......unapotea ndugu.
Any justification of Word Of God must be revealed by Holly Spirit of Yahwen.

Hayo ya kujimwambafy kuwa una uwezo mkubwa kuielewa Biblia ni kjjijaza upepo tu
 
Ni kwa utamaduni wa waarabu uliopenyezwa kwenye dini ya kiislam.

Hata marais wa kiislam wanazikwa ndani ya Masaa kadhaa tu, masaa 24 hayapiti.
kama ni talatibu za wasrabu basi ninzuli zinafaa kuigwa kwa sababu haki mtu akisha kufa na kuwa mzoga haki yake ya msigi ni kuzikwa tu
 
Na kweli hili lilikuwa relevant enzi hizo ambapo hakukuwa na mechanisms za kuhifadhi miili kwa muda mrefu.......unaweza kujikuta unazika mtu ambaye kazimia tu hajafa, haraka ni ya nini hasa?
akili zako ziko chini kama kibatali
 
Yesu aliwaishwa kuzikwa kwa sababu ya ujio wa sabato na pasaka.
Wayahudi waliona anachelewa kufa , wakampiga mkuki akiwa msalabani (lakini alikuwa ameshakufa ) , wale wengine aliosulubishwa nao - walivunjwa miguu . Hii yote , ni ili sabato na pasaka ambazo ni sikuu mbili zilizoheshimiwa sana na wayahudi zisije kuwakutia msalabani

Yohana 19:31 " Kwa kuwa ilikuwa siku ya Maandalizi ya Pasaka Wayahudi hawakutaka miili yao ibaki msalabani siku ya sabato. Hii ingekuwa sabato ya pekee kwa kuwa iliangukia wakati wa Pasaka. Wakamwomba Pilato aamuru miguu ya wale waliosulubiwa ivunjwe ili wafe upesi waondolewe msalabani. "
Kwani si wange muondoa msalabani na wange muweka nyumbani ili tuje kumuwaga

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuna uchunguzi ulifanyika sikumbuki ni nchi gani lakinj waligundua kuna baadhi ha watu walizikwa wakiwa hai ikizaniwa wamekufa na sababu yao kusema hivi ni kukuta ndani ya jeneza kuna mikwaluzo kama mtu alisota wakati anatafuta namna ya kutoka na pia mabaki ya mwili hayakuwa kwenye uelekeo ambao mwili ulivyozikwa mara ya kwanza
Mtu akifa amekufa teknolijia imeendelea kuna vitu vinapimwa kwa mtu kama havipo maana mtu ameshakufa haiwezekani mtu kuwa alizikwa hai labda kama walikusudia ila kuna vipimo ukifanya ukikuta haviko sawa tu uje mtu tayari ameshakufa
 
tatizo hasa wakiristo wanataka watu wote wafuate wanavio amini wao jambo ambalo aliwezekani hata kwenye biblia hakuna andiko lanalo sema mtu akifa awekwe mochwali kisha waandae maipika kisha wacheze mziki wanywe walewe kisha mzoga huo wausafirisha bali wanatumia talatibu za kipagani tu
Biblia si ni ya juzi tu, kwani kabla ya biblia walikuwa wanafuata taratibu zipi?
 
Back
Top Bottom