Yesu aliwaishwa kuzikwa kwa sababu ya ujio wa sabato na pasaka.
Wayahudi waliona anachelewa kufa , wakampiga mkuki akiwa msalabani (lakini alikuwa ameshakufa ) , wale wengine aliosulubishwa nao - walivunjwa miguu . Hii yote , ni ili sabato na pasaka ambazo ni sikuu mbili zilizoheshimiwa sana na wayahudi zisije kuwakutia msalabani
Yohana 19:31 " Kwa kuwa ilikuwa siku ya Maandalizi ya Pasaka Wayahudi hawakutaka miili yao ibaki msalabani siku ya sabato. Hii ingekuwa sabato ya pekee kwa kuwa iliangukia wakati wa Pasaka. Wakamwomba Pilato aamuru miguu ya wale waliosulubiwa ivunjwe ili wafe upesi waondolewe msalabani. "