Mo graphics 2019
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,002
- 1,483
Juzi kati kuna mtu kanipigia simu saa 11 kua niko msibani kuna mtu kafa tunazika keasho, ahsubuhi nampigia anasema bhana yule mtu kafufuka(by saa 5 Usiku) tumempeleka hospitali saiv....[emoji1787][emoji1787]Na kweli hili lilikuwa relevant enzi hizo ambapo hakukuwa na mechanisms za kuhifadhi miili kwa muda mrefu.......unaweza kujikuta unazika mtu ambaye kazimia tu hajafa, haraka ni ya nini hasa?
Hoja iko hivi alifufuka akiwa wapi?
Je nyie mnapo endelea kuamini kitu ambacho kwa sasa hakiwezi kutokea huoni kama ni ujinga?
Kwanini msizike ili afufuke akiwa kaburini kama alivyo fufuka yesu na razalo?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Imagine angekuwa kafa asubuhi, jamaa tayari wangeshafukia🤣Juzi kati kuna mtu kanipigia simu saa 11 kua niko msibani kuna mtu kafa tunazika keasho, ahsubuhi nampigia anasema bhana yule mtu kafufuka(by saa 5 Usiku) tumempeleka hospitali saiv....[emoji1787][emoji1787]
Sikuamini ila haya mambo yapo sna
Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
Wafukie bandama tuWafukie mwili wako au wewe
Tatizo lenu mnakua wakali wakati mada mnaanzisha wenyeweNimekwambia walimsubiri Yesu kwa siku kadhaa hadi mwili wa Lazaro ukaharibika ndo wakaenda kumzika, kwa nini wewe unatulazimsha tukazike baada ya sekunde mbili ili hali bado tuna fursa ya kuwasubiri ndugu wengine na Yesu pia akiwemo kwenye hiyo list ya watu wanaosubiriwa kuja..........maana sisi tuna uhakika anaishi na anaweza kufanya jambo lolote hata leo hii.
Labda hii story yako ni kufurahisha watu tu hapa JF. Mtu aliyekufa anafahamika kawaida na hata kitabibu.Juzi kati kuna mtu kanipigia simu saa 11 kua niko msibani kuna mtu kafa tunazika keasho, ahsubuhi nampigia anasema bhana yule mtu kafufuka(by saa 5 Usiku) tumempeleka hospitali saiv....[emoji1787][emoji1787]
Sikuamini ila haya mambo yapo sna
Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
Mkuu humu kuna waropokaji wengi sanaLabda hii story yako ni kufurahisha watu tu hapa JF. Mtu aliyekufa anafahamika kawaida na hata kitabibu.
Swali kuntu. Swali lako linafikirishaKazimia [emoji1787]
Kwa hiyo wengine huifadhi mwili kwenye jokofu kwa masiku kadhaa wakiamini mpendwa wao atazinduka!?[emoji16][emoji2296]
kuna faida gan kumkamua maiti inaogopwa ataenda kunyea mwanandan? [emoji848]Hapa unalazimisha mafungamano baina ya Uislamu na mila na dasturi za waarabu.
Kitu ambacho hakipo.
Sasa hata kama kunamajokofu kuna faida gani ya kukaa na maiti ndani? and what difference does it make, kumzika marehemu mapema au kumchelewesha? Ilhali ameshakufa
Hapana sio waropokaji bali wanapata furaha kupitia kejeli au reactions kwa watu wengine.
Soma tena ulicho andika angalia mada iliyopo ubaoni alaf jitafakarikuna faida gan kumkamua maiti inaogopwa ataenda kunyea mwanandan? [emoji848]
Hili huwa sioni umuhimu wake kwa kweli. Ni kumdhalilisha tu maiti.kuna faida gan kumkamua maiti inaogopwa ataenda kunyea mwanandan? [emoji848]
ulitaka wasimzike hili mwishowe iwe nn?Kuna nini Kimejificha hasa juu ya huu Utaratibu wao ambao kwa wanaopenda Kufikiri (Akili Kubwa ) wanaweza kudhani Wapemba wana Roho Mbaya na Wakatili?
unatumia makalio kufikiliNi mapokeo tu toka enzi hizo hata majokofu hayakuwepo na kwa joto la arabuni isingewezekana kulaza maiti,uislam kila lililo la mwarabu ni la mnyazi mungu,funny truth!
alie wai kuzika na alie chelewa kuziko watu ni mizoga tuNa kweli hili lilikuwa relevant enzi hizo ambapo hakukuwa na mechanisms za kuhifadhi miili kwa muda mrefu.......unaweza kujikuta unazika mtu ambaye kazimia tu hajafa, haraka ni ya nini hasa?
hawezi jibu huyoHivi umeyaona maswali ya hiyo hoja yangu au umekurupuka
Nakuuliza tena tupe faida ya kukaa na marehemu zaidi ya siku mbili pasi na kuzikwa?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
wao wanao chelesha kuzika mwishowe huo mzoga unafufuka kuwa hai?Sawa sisi tunaharakisha vitu viwili mazishi na ndoa.
Mazishi umesema joto tufanye Sawa.
Haya na ndoa?
nyiyi wakina miujiza mnapo chelewesha kuzika huo mzoga unafufuka na kuwa hai?Kwa hiyo haya ni maagizo ya mnyaazi, au ni mapokeo tu...
hawana lolote tofaoti na ushenzi tuYesu baada ya kufa kakaa siku ngapi ndio akazikwa
Kuwahi kuzika ndio busara zaidi kuliko kukaa na kiumbe kisicho hai ndani unataka kifanyaje humo kwenye jokofu kizae au?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Katika hao waliocheleweshwa kuzikwa kuna mmoja wao yeyote ambaye alijulikana kuwa kazimia tu? Lete ushahidiNa kwa nini kuchelewa kuzika isiwe busara, vipi kama huyo mtu kazimia..........huoni kuchelewa ndo busara zaidi?