Kwanini wapinzani wanapenda kutumia media za nje kuzungumzia mambo yetu ‘ya ndani’?

Ww ni tako wakati jiwe kapiga marufuko tv redio na magazet oitangaza habar za lisu acha kujitoa ufaham ww kenge
 
Kila Mtu anawapenda wazungu, kuwaita mabeberu ni kiki tu, lakini ya kibaguzi!!
 
Tunajenga nchi moja lazima tuwe wamoja,
Wakizuka wasaliti na wahuni wachache kuwashughulikia hakuepukiki.

Maneno matupu hayavunji mfupa. Usaliti na uhuni ni agenda ya wafichao ukweli.

Siku zote mtu kweli na muwazi huchukiwa na wengi, na ajabu ni kwamba ufalme wa giza hutaka kuificha nuru, wasichokijua ni kwamba kamwe giza haliwezi kuishinda nuru maana mara nuru ijapo giza hutoweka.

Ningependa sana tena sana kama wasaliti wangeburutwa mahakamani kwa usaliti wao.

Ni sawa na dhana ya "kuvua gamba" iliyomhukumu na kumchafua mmoja kumbe ulikuwa ufisadi wa mfumo.
 
Sasa kama tbc hawataki kurusha Habari zao je unataka wafanye nn wakati na wao wanataka kusikika kwa wanainchi wao?

Wanataka wapinzani waelewe wao kutosikika ndiyo uzalendo.

ITV mute sauti Lissu alipozungumza, RFA wapo kwenye rekodi kukata matangazo Lissu akihojiwa kwenye radio ambazo wao hujiunga kama washirika.

Wanataka wapinzani wawashangilie kwa kuzuiwa kuuhabarisha umma, kubambikiziwa makesi, kushambuliwa risasi, kupotezwa nk.

Ama kweli ni heri ya manyani yasiyoona makundu yao.
 
Kumbuka star tv walipozima kipindi wakati yule jamaa wa bavicha akiongea. Juzi tu ITV wamekata sauti Lisu akiongea. Ulitakaje kwa mfano? Wakae kimya?
 
Kama mnatumia fedha na silaha kuwalazimisha wanahabari wa Kibongo kurusha maneno ya jiwe huku mkiwakataza kurusha habari za kumwambia ukweli huyo juwe unadhani tufanye nini kama si kutumia vuombo vya nje!

Hiyo haijibu hoja bali ni generalization tu. Huna ushahidi wa kuonyesha kuwa mtoa hoja anatumia fedha na silaha lakini umemgeneralize kuwa anafanya hivyo.
 
Jibu ni simpo tu: Huko nje ndo waliko wapiga kura wao. [emoji851][emoji851]

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Hebu jaribu kujiuliza maswali haya kwanza:

Viongozi mbalimbali duniani pamoja na serikali zinapochapisha ama kutoa taarifa mbalimbali za masuala yao ya ndani kupitia media kama vile Twitter, Facebook, Youtube n.k. huwa zinawalenga Wamarekani?! Maana hizo media ni za Wamarekani!

Kuna ubaya gani kutumia international media kama media hizo zinaweza kuwafikia wale unaowalenga?!

Kilichopo hapo ni coverage tu ya media husika katika eneo lengwa. Kama chombo husika kinaweza kuwafikia watu unaowakusudia kuna shida?!
 
Watakuwaje wajinga wakati elimu ni bure.

Fanya kazi achana na mambo yakwenda kwa wazungu kujidhalilisha
Huku mnajisifu WB imetoa fedha hivi ni ya kutoka Congo hiyo?
 
Kumbuka star tv walipozima kipindi wakati yule jamaa wa bavicha akiongea. Juzi tu ITV wamekata sauti Lisu akiongea. Ulitakaje kwa mfano? Wakae kimya?

Vision 2020 na tathmini ya bunge la 11. Kwa akili zao wenye fursa kusema ni wao tu. Eti kuwa huo ndiyo uzalendo.

Ndiyo maana kuwapoteza na hata kuwashambulia na kuuwa wenzao kwa risasi kwao ni halali.
 
Haijawai kuwa haramu kutumia vyombo vya habari vya nje. Mianzo ya post yako imekaa kidikteta.
Vyombo vya ndani vinaogopa kutoa coverage kwa upinzani na hivyo upinzani kujikuta wanakimbilia vyombo vya nje.

Binadamu ana kawaida ya kuendelea kutafuta solution ya changamoto zinazomkabili. Ukimminya huku anaibukia kule.
 
Kuna media yoyote ya ndani inayorusha matukio ya vyama vya upinzani? Mbona ccm kila uchao wanarushwa katika tv hizohizo huoni ni ubaguzi?
Juzi Lisu anaanza kuongea mitambo ikakata sauti (hapo ni chombo ambacho kilijitutumua kwenda kurusha live matangazo ya ACT ) ,mi naona mbinu hii ni sahihi na watangaze kabisa kwamba wataitumia KTN kurusha kampeni zao maana ni muhimu raia wajue mapema maana wakitegemea za bongo hawataonekana kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…