Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila Mtu anawapenda wazungu, kuwaita mabeberu ni kiki tu, lakini ya kibaguzi!!Wazungu wale wanajua Kiswahili kuliko wenyeji wao mpaka mtangazaji wa media mashughuri nchini aliyekuwa kwenye mapokezi akajiuliza kwa sauti kama ni Wachaga. Kunani kila ndege kutoka kwa mabeberu ikitua KIA viongozi wetu na Media wanakuwepo kuwapokea wasafiri kwa mbwembwe?
Nakupenda sana, mbatizaji!Nimekuelewa bwashee!
Tunajenga nchi moja lazima tuwe wamoja,
Wakizuka wasaliti na wahuni wachache kuwashughulikia hakuepukiki.
Sasa kama tbc hawataki kurusha Habari zao je unataka wafanye nn wakati na wao wanataka kusikika kwa wanainchi wao?
Mbona huzungumzi TBC hao ITV hukuona ubabaishaji waliokuwa nao
Hilo kama la 10 hivi,bwege wakiliDah Lissu leo kajifunga goli aisee
Kama mnatumia fedha na silaha kuwalazimisha wanahabari wa Kibongo kurusha maneno ya jiwe huku mkiwakataza kurusha habari za kumwambia ukweli huyo juwe unadhani tufanye nini kama si kutumia vuombo vya nje!
Jamaa bado analo tatizo la ulimbukeni.Hilo kama la 10 hivi,bwege wakili
Hebu jaribu kujiuliza maswali haya kwanza:Jibu ni simpo tu: Huko nje ndo waliko wapiga kura wao. [emoji851][emoji851]
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Huku mnajisifu WB imetoa fedha hivi ni ya kutoka Congo hiyo?Watakuwaje wajinga wakati elimu ni bure.
Fanya kazi achana na mambo yakwenda kwa wazungu kujidhalilisha
Kumbuka star tv walipozima kipindi wakati yule jamaa wa bavicha akiongea. Juzi tu ITV wamekata sauti Lisu akiongea. Ulitakaje kwa mfano? Wakae kimya?
haijalishi, tutampa kura hivyohivyo na ulimbukeni wake...by the way hawezi kumfikia ulimbukeni "yesu" wenu!.Jamaa bado analo tatizo la ulimbukeni.
Haijawai kuwa haramu kutumia vyombo vya habari vya nje. Mianzo ya post yako imekaa kidikteta.Sasa imekuwa kama imehalalishwa vile kwa viongozi wa upinzani kuvikacha vyombo vya habari vya ndani na kukimbilia media za nje na za washindani wetu wa kiuchumi.
Alianza Zitto na zile fedha za kusaidia elimu ya watoto wa kike lakini kwa bahati nzuri WB wakamshushua na kumpuuza. Zitto aliitumia BBC badala ya media za ndani.
Sasa Tundu Lissu naye anayarudia makosa yaleyale, hivi kwanini mnakwepa media zetu?
Inakera sana.
Maendeleo hayana vyama!
Kuna media yoyote ya ndani inayorusha matukio ya vyama vya upinzani? Mbona ccm kila uchao wanarushwa katika tv hizohizo huoni ni ubaguzi?Anachofanya Tundu Lissu ndio kinamuondolea credit kwa mashabiki wake, anawatumia watu ambao wapo against Magufuli regime akiamini watasaidia kuleta impact ndani hiyo ni very wrong strategy, haitomsaidia kuwa urais anapoteza muda.
NB:Lissu ataondoka, Magu ataondoka, uchaguzi zitaisha Tanzania itaendelea kuwepo, ila kumbukumbu zitabaki.
TUIPENDE NCHI YETU.