Kwanini wasambaa wanapenda sana kuongea kilugha hata mjini?

Shauri zenu ... mnawasema kwani ni wao tu mbona makabila kibao mjini hapa wanaongea lugha za kwao?
Wachaga
Wapare
Waha

Na wengineo
Wachaga wengi hawana huo ushamba wanapokuwa na watu wa makabila mengine

Wamestaarabika
 
Yani nikipanda gari, mara nyingi wasambaa ndo wanapenda kuongea , utasikia nzeze nzeze, shiingi ngahi, kwani lazima kuongea kilugha mkiwa mjini? Kwanini msiongee Kiswahili
shiingi ngahi,! Hiki sio kisambaa BTW ulipanda magari ya wapi sanalii na ulipanda mara ngapi na ukiwa mkoa gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…