Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Kwa nini umesema ni mbondei au mzigua? Wakati hawa ni ndugu zenuMtoa mada Kama sio mbondei Malaya Basi atakua mganga wa kizigua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini umesema ni mbondei au mzigua? Wakati hawa ni ndugu zenuMtoa mada Kama sio mbondei Malaya Basi atakua mganga wa kizigua.
Kwa nini awe mzigua au mdigo? Hawa si ndugu zenu hapa Tanga?Bila Shaka we ni mzigua au mdigo? Wivu tu unqkusumbua
Mi muda wote nilidhani we Mpare, kumbe MsambaaSasa mtani nitakosaje hapa kwa mfano
Kwamba unataka kuingilia uhuru wa watuTafsiri yake nini mkuu?
Makabira? Au MakabilaNi kweli, yani ni nadra sana kusikia makabira mengine, ila wasambaa hawajifichi
Uyu jamaa aetie inu mada ni mshamba, hana akii kwaio tieke kuonga kishambaa kuamba nationekane ti washamba, kishambaa nionga hohoshe na hakuna ndue ya kuniemeza, kama nzeze basi washame wakaikae hata ni uko somalia watiekee inu shi yetu wenye.Uyu jamaa ni ngoshwe kabisaKwenye huu uzi Wasambaa tumeonewa. Huyu mtoa mada hajawahi kukutana na Wasukuma na Wamasai! Hawa jamaa muda wote wanaongea lugha yao tu.
Uyu jamaa aetie inu mada ni mshamba, akii kwaio tieke kuonga kishambaa kuamba nationekane ti washamba, kishambaa nionga hohoshe na hakuna ndue ya kuniemeza, kama nzeze basi washame wakaishi hata ni uko somalia watiekee inu shi yetu wenye.Kwamba unataka kuingilia uhuru wa watu
Mosio uzamkang'ha ,🙌🙌Kwamba unataka kuingilia uhuru wa watu
Ninyi ndiyo mnaitwa Ng'wanapilipilwa mkitambulishwa ugenini mnataka muitwe Ng’wanny.Ijulikane ili upewe tuzo?
Lugha yetu inafahamika, na ndio tunayowasiliana nayo hapa JF.. hayo malugha mengine hayana ishu mjini, labda kama nyie ni wangaNinyi ndiyo mnaitwa Ng'wanapilipilwa mkitambulishwa ugenini mnataka muitwe Ng’wanny.
Unaogopa nini ukijulikana kabila lako....utauwawa?hushangai muhindi mchina waarabu etc wakikutana hawaachi kuongea lugha zao?
Aanyeghewa uyu[emoji23]Uyu jamaa aetie inu mada ni mshamba, akii kwaio tieke kuonga kishambaa kuamba nationekane ti washamba, kishambaa nionga hohoshe na hakuna ndue ya kuniemeza, kama nzeze basi washame wakaishi hata ni uko somalia watiekee inu shi yetu wenye.
Ngoshwe iwe[emoji28][emoji28]
AtavikundaMosio uzamkang'ha ,[emoji119][emoji119]
Aanyeghewa uyu[emoji23]