Kwanini wasambaa wanapenda sana kuongea kilugha hata mjini?

Kwanini wasambaa wanapenda sana kuongea kilugha hata mjini?

Mtoa mada atakuwa hajawahi kupanda gari moja na Wasukuma, au Wamasai!

NI ndani ya Wilaya mbili tu nchini (Lushoto na Korogwe) ndiyo utakutana na hao Wasambaa wakiongea kilugha ndani ya magari ya abiria/mtaani/sokoni, nk. Nje ya hizo Wilaya, ni aghalabu kukuta Msambaa anaongea kilugha hadharani.

Ila hayo makabila mawili hapo juu, hata uende Urusi, au Ukraine! Wao ni kuongea tu Kisukuma/Kimasai!!
Yaaah mm binafsi napenda kuongea lugh yangu pendwa ya kimasai popote nikikutana na anaye kifahamu naipenda san
 
Si unaona jina Tate mkuu - kisambaa sijui ndo baba mkubwa au baba mkuu
Ahahaha kumbee ila nawapenda sna wazambaa vijana wengi wao Ni mafundi magari wengi wapo tabata .Ni mafundi wazuri sna huwa nawapa San Kaz za kutengeneza 114 c[emoji3]

HV Tate Mkuu Ni kweli kabila lenu ndio ukioa ndugu wanakufatafta au wadigo ndio zao [emoji23]

Ila wazambaa watamu mno
 
Hujafika Kitunda Ukonga Daressalaam!
Huku Wakurya wanamuongelesha kikurya kila wanaekutana naye! ni kama tuko Tarime tu!![emoji23][emoji23]
@UMUGHAKA Ni kweli hayo ,[emoji23][emoji23]
 
Uyu jamaa aetie inu mada ni mshamba, hana akii kwaio tieke kuonga kishambaa kuamba nationekane ti washamba, kishambaa nionga hohoshe na hakuna ndue ya kuniemeza, kama nzeze basi washame wakaikae hata ni uko somalia watiekee inu shi yetu wenye.Uyu jamaa ni ngoshwe kabisa
Yee Tate nanieee! Honga mghoshiii
 
Yani nikipanda gari, mara nyingi wasambaa ndo wanapenda kuongea , utasikia nzeze nzeze, shiingi ngahi, kwani lazima kuongea kilugha mkiwa mjini? Kwanini msiongee Kiswahili
mkataa kwao ni mtumwa
 
Ahahaha kumbee ila nawapenda sna wazambaa vijana wengi wao Ni mafundi magari wengi wapo tabata .Ni mafundi wazuri sna huwa nawapa San Kaz za kutengeneza 114 c[emoji3]

HV Tate Mkuu Ni kweli kabila lenu ndio ukioa ndugu wanakufatafta au wadigo ndio zao [emoji23]

Ila wazambaa watamu mno
Wasambaa wana tunajali sana familia zetu. Mimi mwenyewe nimeshakaa sana Dar kwa Bro miaka ya 80's! Kwa madada zangu ndiyo usiseme! Mpaka nakuja kuanza maisha, nimeshakaa sana kwa ndugu!

Na kwa sasa nipo kulipa fadhila! Nimeshawapa hifadhi ndugu wa kutosha tu tangu nianze kujitegemea! Na hata sasa nina watoto wawili wa ndugu zangu nakaa nao! Wakifanikiwa kutoka, na wenyewe watawawasaidia wengine.
 
Back
Top Bottom