Kwanini wasanii wa kiislam huwa hawaweki masheikh kwenye maudhui yao?

Naunga mkono hoja, hawawezi hata siku moja kuleta mzaha mwenye uislam. Wao mzaha huleta kwenye ukristo tu
Sijaona mtu akileta mzaha kwenye Ukiristo, ila mimeona mtu kakemea uovu

Sasa kama unadhani Utapeli ndiyo Ukiristo wenyewe basi hapo huyo bwana kakosea kuukemea utapeli huo.

Ila kama Ukiristo siyo Utapeli, basi huyo kijana alipaswa Kupongezwa na Wakiristo kwa kuusema ukweli ili matapeli hao wanaotapeli kwa kitumia jina la Ukiristo waache mambo yao mabaya.
 
Ustaadhi anakutana wapi na wanawake awapapase?, Huko wanasali vyumba tofauti,,, hakuna habari ya shehe kukaa na mwanamke eti anamfanyia maombi,,,
Ila maustadhi wa vyuo baadhi ndio wanafanya dhambi na watoto wa vyuo
Watoto wanaolawitiwa hukutana nao wapi? Hivi kuna watu washarati kama hao?
 
Angekemea huo uovu kwa uislam ingekuaje? Na kwanini hawakemei huo uovu kwa uislam?
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wakristo ni kupiga goti na kumwambia Mungu aangalie huo upuuzi, kisha MUNGU katika roho hutoa adhabu yeye mwenyewe, wakati mwingine vitu vingine hupaswi kutumia nguvu za mwili Bali katika roho.
 
Ile kushoti video walipata baraka kutoka kwenye uongozi,nahisi viongozi walipomuona msanii Diamond wakajua shida zao zote zitaisha kupitia kwake,Kwamaana ile video walitumia siku nzima kushuti
Yaani kwakweli ni huzuni. Hizi njaa hizi 😥
 
Kwanza Usialamu unakataza mziki kuwa ni haramu,yaani kiufupi tu ikitokea hata yule mwenye kutunza funguo ya msikiti umwambie muigizie msikitini hawezi kubali ujinga huo,Kitu unavyokiheshimisha ndivyo kinavyopata thamani yake
Lakini wakipelekewa pesa zinazotokana na muziki wanapokea, licha yakuwa mziki ni haramu inakaaje hapo?
 
Uislam umeruhusu mashairi bila beat, Ila mashairi yawe ya kumpendeza muumba, ndio maana mtume Muhhamad alisema kupiga madufu kwa waislam ni miongoni mwa mambo ya kipumbavu
Kwa hiyo Acapella sio muziki?
 
Lakini wakipelekewa pesa zinazotokana na muziki wanapokea, licha yakuwa mziki ni haramu inakaaje hapo?
Ndo yale yale ya Diamond kutokunywa pombe ati dhambi lakini anafanya usharati tena anaona sifa na kampuni ya betting juu!!
 

Nadhani wameona hakuna reaction kwa upande wa wakristo hivyo wameamua kufanya wanavyojiskia.
 

Kwanini mchungaji?. Na sio sheikh wa dini yake?. Tusitete ujinga kwa mgongo kwamba katumwa na Mungu. Tangu lini muimba singeli akatumiwa na Mungu?. Acha upotoshaji
 
Sidhani kama kweli waliingia kanisani kufanya video shooting. Inawezekana na mazingira waliyoyatengeneza kwa kufanana na kanisa ndio wakafanya hiyo shooting.
Mimi sio mfuatiliaji wa secular music though!

Sio usidhani, walishoot ndani ya kanisa na Cha kushangaza Hadi na kwaya kabisa wakiimba wimbo wa wewe ni mwema. Zuchu na uchafu wake wote ni wa kwenda kufanya dhihaka kanisani?. Mtu anaimba matusi lakini kaona kanisani ndipo pakufanyia dhihaka?. Kwanini asiende msikitini?.
 

Kama sio dini Ni Nini?
 

Wewe mbona ujiheshimu?. Nani alikuambia watu wanaamini mcheza filamu ndio Yesu?. Mnajitungia mambo na kilazimisha yawe kweli. Yani mtu acheze filamu, halafu watu waamini huyo ndio Yesu, kawadanganye wengine. Kuna filamu za Yesu zimechezwa zaidi ya 10, sijui unaongelea ipi.
 

Hao ni wakristo wanafiki, wakristo wakweli hawaruhusu ujinga Kama huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…