Kwanini wasanii wa kiislam huwa hawaweki masheikh kwenye maudhui yao?

Kwanini wasanii wa kiislam huwa hawaweki masheikh kwenye maudhui yao?

We

Una elewa maana ya filamu?. Ni maigizo. Sasa usilazimishe maigizo yawe kweli. Kabla hujawaita wakristo msikitini, waambie waislamu waache kwenda kwa Mwamposa kuombewa.
wanao enda huko hao wanamajina tu yakiislam Bali kiimani nimakafirituu Kama wewe.mkristo
 
kwani kanisani hakuna matowash na masista.wale ambao hawaoi Wala kuolewa?.lakini ukiristo sio dini nikikundi chawakusanya sadaka.nakulea
Huwezi kuwa towashi kama wewe ni hanithi awaokoti tu mtu bila sifa.
Hao wamejitoa maisha yao kufanya Kazi ya Mungu.
 
Uislamu gani huu wa Somalia na Afghanistan au Iran wanaponyongwa watu?.
wewe ukiristo wako sini huu wa marekani na vatcan?kwahio wewe nisho....?.ukienda kinyume nadini unanyongwa tu .sheria yakunyonga hata marekani ipo. au nyani huoni kundulo?
 
Dini ya kikristo rahisi kuchezewa
Ule upande mwingine, ukiwachezea
Watakushukia kama mwewe

Ova
Wakristo hawana mihemko na maruhani ndio maana. Huwa wanawapuuza mapunguani

Unataka wakajilipue??
 
Huwezi kuwa towashi kama wewe ni hanithi awaokoti tu mtu bila sifa.
Hao wamejitoa maisha yao kufanya Kazi ya Mungu.
kwahio wanataka rijali ili akafrn vizuri kanisani? wakuu nyie hanma akiili.
 
Nimeangalia wimbo wa PITA HUKU wa Dula Makabila nimeshangazwa na kipande cha mchungaji akipapasa wamama kisha akaamriwa apite motoni.

Yaani mchungaji kawekwa kundi moja na Shoga Aggrey na tomboy na mchawi.

Katika wimbo ule hakukuwapo kabisa kipande cha Sheikh akipita mbele ya hukumu wala msikiti ukionekana popote pale.

Hata ule wimbo wa Zuchu aliona bora akafanyie mzaha kanisani kuliko msikitini!

Hivi ni kwanini hawa wasanii waislam huwa hawapendi au hawafanyii dhihaka dini yao?

Nafikiri kwakua ni waislamu wangekua na mengi zaidi yakuigizia dini yao kuliko kuwadhihaki wakristo.

Ni watu wa hovyo sana na nitashangaa BASATA isipochukua hatua kali this time.
Hao wasanii mnaosema ni waislamu mkiangalia kwa mafundisho na miennendo ya Kiislamu bado ni Waislamu au majina tu?Mondi anavaa msalaba,hao wa kike wanaweka viungo vyote hadharani.Tuwahukumu kwa wanayofanya lakini tusiwanasibishe na Uislamu,walishatoka!
 
Back
Top Bottom