Gotze Giyani
Senior Member
- Feb 28, 2022
- 127
- 194
Wadau habari za mida naomba mchango wenu wa mawazo kwanini wafanyakazi wengi wa umma ni masikini unakuta mtuu ana bachelors degree ila unakuta anaishia kumiliki nyumba na gari moja tuu ambapo ukiangalia ni vitu vya kawaida sana yani hata hakuna maajabu wanauofanya kama wenzetu ukichukulia mphano Steve Job aliyevumbua Iphone huku kwetu hata profesa unakuta afanyi wonders yoyote.
Nitolea mphano nilikuwa Equity bank nikasikia wafanya kazi wa pale wqnajafili wanataka wakasome Master ili hata wawe a uwezo wa kulipia bili mezani sasa nikawaza seriously mtu ukasome master uwezi kulipia bili mgahawani wakati nilijua hata mtuu akasome master afungue kampuni yake wadau nini tatizo na wasomi wanakwama wapi mimi elimu yangu ndogo tuu.