The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Ushamuona Proffesa Ndalichako akiongea in English?kuna kuwaje na language barrier kwa mtu aliyesoma lugha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushamuona Proffesa Ndalichako akiongea in English?kuna kuwaje na language barrier kwa mtu aliyesoma lugha?
mkuu kuna fani ambazo kama umesoma mbogo huwezi kuzifanyia kazi huku ila sio kwenye lugha mkuu, wakenya na waganda nakuhakikishia wengi tulikuwa nao japan wanafundisha kiswahili na ngeli na watafsiriHivi vijamaa vyenye macho madogo ni vichumia tumbo ...... havikupi dili kabisa badala yake vinakuja kukusanya coins zetu milioni 200
😀😀😀We jamaa, wewe ni mmoja wa fani hizi?wewe ndio unatakiwa uwe co-ordinator wa kuwaunganisha watanzania huko, tafuta sehemu huko wanaohitaji walimu wa kiswahili, njoo utupe details tu apply... haya mambo ya kugoogle mwenyewe bila ya kuwa na mtu wa uhakika wa kukuunganisha mwisho unaangukia kwa matapeli wa kinigeria
mkuu mimi nazungumzia kwa huku kwao, achana na huko nyumbaniTafuta NGO ya KIjep au Kichina kama utaipata .....angalau Korea Kusini wana tabia za kusaidia watu wadogo......hawa wengine ni miradimikubwa iliyokaa kirushwa rushwa tu......nafikiri nao ni masikini kama sisi
Ndalichako huyu waziri wa elimu mzeeNdalichako yule katibu mkuu wa NECTA?
Mbona watanzania kibao wapo huko wanafundisha kiswahili?Hili unalosema ni kweli lakini bado narudia elimu yetu inampumbaza mtoto zaidi kuliko kumtengeneza ajiamini katika kupambana, ni kweli kiswahili kwa sasa kina demand kubwa huko nje lakini wanaongoza kuchangamkia fursa hiyo ni wakenya na waganda ingawaje hawakijui vizuri kama sisi, watoto wetu wakimaliza wanachosubiri ni kuajiriwa na serikali na wakikosa hawana maono mengine ya kuwawezesha kujikwamua
kuna umuhimu wa elimu hii kupitiwa upya
mkuu nashukuru kwa kulithibitisha hili la uhitajiwa wa hawa watu kwenye hizi nchi na umekiri kabisa na wewe ushawahi kuzitembelea na umeona lakini umenishangaza kidogo, mtu unawezaje kuhitimu fani ya lugha na usijue kiingereza?Shida sio lugha ya kiswahili,shida in lugha ya kiingereza huwezi amini hapa bongo hata MTU mwenye PhD kizungu kinamsumbua just imagine
MTU first degree stela maris university
Masters:mzumbe university
PhD:udsm...
Ndalichako yule katibu mkuu wa NECTA?
Parabola, mtu huku bongo anaisoma lugha ili afaulu apate cheti ili a graduate na kula mpunga na ndugu zake lakini muulize alichokisomea kama anaweza kukifanyia kazimkuu nashukuru kwa kulithibitisha hili la uhitajiwa wa hawa watu kwenye hizi nchi na umekiri kabisa na wewe ushawahi kuzitembelea na umeona lakini umenishangaza kidogo, mtu unawezaje kuhitimu fani ya lugha na usijue kiingereza?