Mr. Mashaka,
The question you were trying to answer is not whether Tanzanians are poor or otherwise. You assigned yourself the task of explaining WHY. The explanation you have given and therefore your main claim is that '..we are poor because we are lazy'. This is the claim you need to back up with evidence.
Yes, your article is strong in terms of the issues you pointed out, yet weak in its fabric; its generalisation and lack of proof for a causal relationship between poverty and laziness in Tanzania's case.
 
Nipo njiani nafanya ziara ya utafiti ya kwa nini nchi ya tz ni maskini, natembelea mikoa yote na wilaya kazaa zinazofikika, natumia gari yangu binafsi; hivyo naomba REPOA nao wafanye utafiti wa kina kwa kutembelea mikoa yote; na kuangalia fursa walizonazo wazalendo lufatana na mikoa yao ukizingatia biashara; mifugo;kilimo na uvuvi, Nitawakilisha nikimaliza ziara ya siku 60; Kwa wenye kukosa uandishi natumia simu maana baadhi ya matumizi kama coma sivioni.
 
  • Hapo kwenye red mimi nasema Tanzania is not poor. Tanzania is just poorly managed ,ndio sababu tukoa katika hii hali tuliyonayo.
  • ​Mkuu kila lakheri katika huu utafiti.
 
Change title: Repoa fanyeni utafiti mikoa yote sio Ziara!
Je unaweza kutudokezea research questions zako? namna unavyokusanya taarifa ( tools & methods) ili tujue kuwa hauko kwenye ZIARA YA UTAFITI, BALI UKO KWENYE UTAFITI?

Mix with yours
 
mkuu mbona sababu ziko wazi.ngoja nikusaidie.
1.mikataba mibovu.
2.rushwa kubwa kama kuamisha pesa a/c ya serikali kwenda binafsi.
3.uongozi mbaya.
4.kushindwa kutekeleza sera nzuri tulizoweka.
5.elimu mbovu.
6.miundo mbinu mibovu.
7.sera mbovu
8.ukwepaji wa kodi unaofanywa na matajiri wakubwa na kampun zao.
9.ukolon mamboleo na unyonyaji wanaofanya
10.ukosefu wa ajira.
11.magonjwa na kushindwa kukabiliana nayo.
12.kushindwa kuwekeza ipasavyo kwenye kilimo.
13.ubinafsi kuanzia serikalin adi kwa raia.
14.utegemezi mkubwa toka nje.
15.tunaagiza sana kuliko kuuza nje hivo tunatumia pesa nyingi sana za kigeni.
16.pesa nyingi utumika kuendesha serikali kuliko maendeleo.
17.ukosefu wa viwanda nchini.
18.bidhaa nyingi feki zenye viwango duni kuingia hivo utumia pesa nyingi kununua mara kwa mara.
19.madawa ya kulevya eg bangi. cocaine etc.
20.kutegemea watalii wa nje tu. wakikata uchum unashuka.
21.watu kujali mambo za chama kuliko mwananchi.
22.kutotumia fursa ipasavyo.
23.kipato kidogo cha mwananchi.
24.vikwazo vingi toka serikalin kwa mfanyabiashara.
25.mikopo yenye riba kubwa kama ya Bayport. finca etc
 
Wakifanya hiyo ZIARA watatuongezea tu umaskini kwa kula pesa afu ndo inakuwa ntolee. Tafiti ngapi zimefanywa na matokeo yake yametupwa bila kufanyiwa kazi kwa sababu zao WAKUBWA. Mi nadhani kila Mtanzania binafsi ajiwekee mikakati ya kujikwamua kutoka katika umaskini, lakini ki ujumla jumla tu... Hell no.
 
Tools ; gari; viatu vyangu; macho; mdomo na chakula; utafiti huu utazingatia akili binafsi kwani research tool ni nyingi na huwa kuna udanganyifu ili kulizisha waliowatuma na kula hela za miradi, hapa sitafuti maksi ila ukweli; naona Money Stunna ana mawazo mazuri ; hivyo nayo nitayaunganisha. Kuusu maswali na mpangilio nitafuatana na hali halisi ya udadisi si kuuliza kila mtu maana nina ka kitambi wasije wakatafuta huruma yangu ya kutaka kunidanganya ili wapewe angalau pesa ya kula mchana
Change
title: Repoa fanyeni utafiti mikoa yote sio Ziara!

Je unaweza kutudokezea research questions zako? namna unavyokusanya
taarifa ( tools & methods) ili tujue kuwa hauko kwenye ZIARA YA
UTAFITI, BALI UKO KWENYE UTAFITI?

Mix with yours
 

Money Stuna, Ukiyajumlisha yote hayo pamoja na yatokanayo unapata jibu moja tu = UTAWALA MBOVU
 

mgt software

Ndugu ukifika kwetu niambie nije nikupokee!
 
Last edited by a moderator:
Wanajamvi, juzi kati niliona kitabu kimeandikwa why nations are fails. Kwa bahati mbay nilishindwa kununua kwa kukosa shilingi mfuko. hata hivo nimepata resources mbalimbali online. Maandiko mengi yanalipoti kama summary ya huyu bwana Ken hapa chini.

Why are some nations rich and others poor? The question has occupied economists since Adam Smith wrote An Inquiry into the Nature and Causes of the Wealth of Nations. As Nobel laureate Robert Lucas said, once you start thinking about that question, "it is hard to think about anything else." Daron Acemoglu and James Robinson have been thinking hard about it, and Why Nations Fail provides their answer.

Their main thesis is "that while economic institutions are critical for determining whether a country is poor or prosperous, it is politics and political institutions that determine what economic institutions a country has" (page 43). That the right economic institutions are vital has long been recognized; what Acemoglu and Robinson do is emphasize the critical role of politics. They argue that an inclusive political system will allow for an inclusive economic system. Such a system provides incentives for people to acquire skills, work hard, save, invest, and, most importantly, innovate. In contrast, an extractive political system exists for the benefit of a narrow elite, and creates an extractive economic system. The masses cannot influence the political system, and have no incentives to exert themselves creating wealth that will be taken from them by the political elites. Extractive economic systems can achieve growth for a short while, but cannot achieve persistent growth. That is because they cannot generate significant technological change and because there will be infighting over the system's spoils.


Je, Tanzania ni maskini kwa hisani ya CCM na Sera zake?.
 
Presidaa wetu alishajibu kwa kusema "Aisee hata mie sijui kwanini Tanzania ni masikini"
 
Watanzania tunaupenda umasikini, tunauenzi, tunautunza na kuulinda zaidi sana tunajivunia kwa kupiga kelele na kujiita maskini sie! MWEH!!!!
 
hata mimi pia sijui...kwa kifupi watanzania hatujui

Ukweli ni kwamba. Umasikini wa nchi yoyote ni matokeo ya umasikini wa fikra kwa viongozi hasa wa siasa katika nchi husika. Hapa Tanzania wewe unajua tunaongozwa na nani?.
 
Tz sio masikini maana upo utajiri wa kutosha kuanzia rasilimali yaani madini,nishati,nguvukazi na vivutio vingi vya utalii na fursa nyingi tu za maendeleo ya uwekezaji...

tatizo hadi leo ukijadili umaskini wa nch hii, utakuta ni uzembe wa viongoz wetu wa sasa, na wengi kutojari mambo ya msingi. na mengine mengi tu ............................ mwisho utakuta hata ustaarabu wengine wanashindwa je uzalendo itakuwaje ?/!

Ukweli ni kwamba. Umasikini wa nchi yoyote ni matokeo ya umasikini wa fikra kwa viongozi hasa wa siasa katika nchi husika. Hapa Tanzania wewe unajua tunaongozwa na nani?.
 
Mkuu, Tanzania siyo maskini, ila wengi wa wananchi wake ndo maskini.

Chanzo cha umaskini wa watu hao ni Uongozi wa nchi kupwaya, na watu wachache kunufaika zaidi na Raslimali za nchi isivyo halali, na hii imesababishwa na kutamalaki kwa ubinafsi kwa wenye mamlaka.

Kuanzia kwa Rais hadi mwenyekiti wa mtaa ni tatizo kubwa kwa umaskini wa nchi, Siasa safi haipo, Uzalendo umetoweka na Tanzania imekuwa nchi ambayo kila lililoshindikana duniani hapa kwetu linawezekana tu.

Baba akiyumba ndani ya nyumba basi nyumba yote inapwaya.

Vitu vinavyoweza kuondoa umaskini ni:

Elimu, Afya, Ardhi, science na Teknolojia, Madini, Nishati, viwanda, Watu, maji, maliasili na utalii, miundombinu ya barabara, Reli, viwanda,

Je mbona Tanzania hivi vyote vipo? Tatizo nini?

Tatizo ni: Siasa safi na Uongozi bora.

Uongozi bora ni nini? hii ni pamoja na: Kiongozi mwenye akili timamu, maono, mwajibikaji, mwajibishaji, mwerevu, mwenye msimamo, na mzarendo.

Siasa safi ni nini? hii ni pamoja na: Siasa yenye kutanguliza maslahi ya Taifa kwanza, Uchaguzi huru na haki, kuheshimu haki za binadamu, utawala bora, nk.

 
Mkuu,
Asante kwa hoja za ukweli. Naona umeungana na mimi kuwa CCM na sera zake ndo kiini cha umaskini wa watanzania.
Kwanini ccm?.
CCM ndiyo iliyotuletea mtu waliyemuona kuwa anafaa kutuondolea umaskini. Wao pia wakaweka sera zao za kutuondolea umaskini. kwa miaka hamsini tunazunguka palepale.

Umaskini wa mtanzania ni matokeo ya sera na uongozi wa ccm.
 
Kuna kipindi mkuu wa nchi aliulizwa kwa nini Tanzania ni masikini naye akakiri hajui. Alishangaa pamoja na rasilimali tulizo nazo bado Tanzania ni masikini.
Kauli ile iliwashangaza wengi sana na wengi kumkosoa inakuwaje mkuu wa nchi hajui kwa nini nchi yake ni masikini.
Huenda kweli hajui kwa nini nchi ni masikini kwa sababu inavyoonekana sababu nyingi watu wanazofikiri ndio zinasababisha umasikini tanzania hazina mashiko sana.
Sasa nimeona nilete mjadala hapa kwa GREAT THINKERS tujadili kwa nini tanzania ama watanzania ni masikini.
Wewe kama mtanzania toa neno lolote hapa kwa nini unafikiri umasikini unatuandama licha ya kuwa na rasilimali nyingi. Hapa usilalamike wala kutukana yeyote wewe toa mawazo yako huru kwa nini nchi yetu ni masikini.
Karibuni kwa mjadala...

 
Kwa mlinganyo wa kisekta, kilimo kina ~ 70% ya watu, hivyo 70% ya pato la mtz wa kawaida litakuwa linaenda kwenye chakula. Kupunguza wakulima kutaiendeleza nchi "wananchi kwa ujumla" vinginevyo ni sarakasi mwananchi anazidi kuumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…