Time Bandit
JF-Expert Member
- May 22, 2013
- 615
- 321
Chanzo cha umasikini ni nini mkuu?Kwa mlinganyo wa kisekta, kilimo kina ~ 70% ya watu, hivyo 70% ya pato la mtz wa kawaida litakuwa linaenda kwenye chakula. Kupunguza wakulima kutaiendeleza nchi "wananchi kwa ujumla" vinginevyo ni sarakasi mwananchi anazidi kuumia.
Chanzo cha umasikini ni nini mkuu?
ushawahi kujiuliza kwanini wewe binafsi ni maskini?
mimi hakuna msemo nisioupenda kama huo utasemaje watanzania maskini wakati wakina mengi, bakhresa, dewji wapo kwenye top 50 ya mabilionea wa africa?
#kunjani kuti
Kwa sababu hawataki utajiri.
Unafikiri kwa nini hawataki utajiri?
Karibu, tunasubiri mchango wako kwa manufaa ya nchi yetu.Mkuu ni uzi mzuri sana huu. Ngoja ninyooshe mambo mawili matatu nhalafu nirudi hapa niweke michango yangu.
Baaden kidogo.
Unafikiri kwa nini hawataki utajiri?
Je hawa wananchi wanao uelewa wa kutosha kabla ya kuchagua?kwa kuchagua viongozi wenye maono madogo. Wataalamu wanatengeneza sera za kisekta, kisha 'strategic plan' mpango ekelezi ambayo inaungwa kupata mpango elekezi wa nchi, unaokutana na ilani ya chama tawala ambayo pia ni mpango elekezi wa matumizi ya rasilimali na vipaumbele. Ilani inayosema kilimo ni uti wa mgongo iogope kwani waliotengeneza wanataka kura toka kwa wakulima, mwisho wa siku watakuambia ilani haitekelezeki, akificha atakuambia sijui kwa nn Tz masikini.
Je hawa wananchi wanao uelewa wa kutosha kabla ya kuchagua?