Tanzania ilipata uhuru wake mnamo mwaka 1961 chini ya muingereza lakini kuna baadhi vitu mpaka saivi najiuliza nashindwa kupata majibu Kenya inapata uhuru wake sisi tunawaona lakini kiuchumi wanatuacha mbali.Matatizo ya maji,umeme,Elimu bora bado hatuja yasolve.Nimefuatilia kwa undani zaidi nchi yetu imebalikiwa kila kitu,mito,maziwa bahari(vyanzo vya maji) pia tuna aina nyingi za madini(dhababu,almasi,chokaa,Tanzanite)
UFAFANUZI:kwa uelewa wangu niliobarikiwa na Mungu unapokuwa na vyanzo vya maji basi ya tosha kusolve matatizo ya maji yanayokumba wananchi pia vyanzo ivyo vya maji+gesi vinaweza tumika kuzalisha umeme wa kutosha pamoja na ayo kwenye vyanzo ivyo vya samaki hupatikana kwa ajil ya kula ama kuuza(kuingiza kipato)
Kwa upande wa madini kila mtu anajua kuwa madini ni moja ya vitu vinavyoipatia nchi yetu kodi(pesa za kigeni)
je ni nini tufanye miaka kadhaa mbele na sisi tuje kuwa "one of the richest country in the world"(Nchi tajiri duniani).Toa wazo lako hapa