ong'wafaza
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 247
- 107
Lakini pia tuache kutunga sera na sheria zinazolenga kuwa wanaoshinda mashambani,ofisini,migodini nk wakifanya kazi mwisho wa siku wawe sawa na wapiga debe,wacheza pool,waku-bet nk kiuchumi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angola kumekuwepo vita (civil war) miaka mingi sana.Hao Angola wna mafuta mengi mno ila utawala mbovu umewafikisha hapo
yani gabon na congo wanatuzidi?Hao Angola wna mafuta mengi mno ila utawala mbovu umewafikisha hapo
Kweli baada ya miaka 50+ ya uhuru bado tunatoa kauli za kipuuzi kama hizi??sasa unafikiri ni lini tutaendelea kama wapo wanaopigana ili tusonge mbele ila wakati huo huo wapo miongoni mwetu wanaopambana ili turudi tulikotoka and simply kwa ajili ya maslahi binafsi.
Hatujapata Uongozi usafi ,Sisi tuna rasilimali nyingi sana, maeneo ya kilimo na mifugo yakutosha, madini na gesi, vivutio vya utalii kibao na mengineyo mengi. WHY?
Hebu wataje ambao wana ubia na uendeshaji serikali kiasi cha kukwamisha maendeleosasa unafikiri ni lini tutaendelea kama wapo wanaopigana ili tusonge mbele ila wakati huo huo wapo miongoni mwetu wanaopambana ili turudi tulikotoka and simply kwa ajili ya maslahi binafsi.