Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?
Lakini pia tuache kutunga sera na sheria zinazolenga kuwa wanaoshinda mashambani,ofisini,migodini nk wakifanya kazi mwisho wa siku wawe sawa na wapiga debe,wacheza pool,waku-bet nk kiuchumi.
 
Tanzania ilipata uhuru wake mnamo mwaka 1961 chini ya muingereza lakini kuna baadhi vitu mpaka saivi najiuliza nashindwa kupata majibu Kenya inapata uhuru wake sisi tunawaona lakini kiuchumi wanatuacha mbali.Matatizo ya maji,umeme,Elimu bora bado hatuja yasolve.Nimefuatilia kwa undani zaidi nchi yetu imebalikiwa kila kitu,mito,maziwa bahari(vyanzo vya maji) pia tuna aina nyingi za madini(dhababu,almasi,chokaa,Tanzanite)

UFAFANUZI:kwa uelewa wangu niliobarikiwa na Mungu unapokuwa na vyanzo vya maji basi ya tosha kusolve matatizo ya maji yanayokumba wananchi pia vyanzo ivyo vya maji+gesi vinaweza tumika kuzalisha umeme wa kutosha pamoja na ayo kwenye vyanzo ivyo vya samaki hupatikana kwa ajil ya kula ama kuuza(kuingiza kipato)

Kwa upande wa madini kila mtu anajua kuwa madini ni moja ya vitu vinavyoipatia nchi yetu kodi(pesa za kigeni)



je ni nini tufanye miaka kadhaa mbele na sisi tuje kuwa "one of the richest country in the world"(Nchi tajiri duniani).Toa wazo lako hapa
 
Africa-UN.jpg
 
Sisi tuna rasilimali nyingi sana, maeneo ya kilimo na mifugo yakutosha, madini na gesi, vivutio vya utalii kibao na mengineyo mengi. WHY?
 
Hao Angola wna mafuta mengi mno ila utawala mbovu umewafikisha hapo
Angola kumekuwepo vita (civil war) miaka mingi sana.

huku kwetu pia kumekuwepo vita vya muda mrefu - CCM vs sisi wananchi.
ndiyo maana!
 
Msihofu; tutawafikia hao na kuwapita!

Au mmesahau tunajenga bomba la mafuta?!

Wazalendo tumehamasika ile mbaya tena kuliko wenye mafuta yenyewe!!

Sisi ndio sisi bhana; hao Wakenya ni Mafisi! Hatuna pressure wala kiharusi!

Si mmeona hatukuupa kipaumbele mradi wa ujenzi wa gas processing plant kule Lindi!

We lijimradi gani lile!! Eti mradi una thamani ya Dola 30 Billion; aaaargh!!

Yàani bajeti yetu iwe $30Billion; halafu inakuja mizungu from nowhere na kutaka kujenga processing plant ya $30 Billion!

Kama si madharau tuite nini bhana?! Yàani ili waanze kujisifia kwamba plant yao moja tu, thamani yake ni bajeti yetu ya mwaka mzima!!

Shenz taipu; waondoke tu! Si maskini jeuri bhana!

Tunapiga chini mradi wa nchini kwetu wenyewe na kwa ushenzi tu tutaendelea kupiga matarumbeta kwa mradi wa jirani tena wenye thamani ya $3 Billion tu!

Hapa ni mwendo wa "doli doli" kwa kwenda mbele!!
 
Hatuna demokrasia na viongozi wetu hawasikilizi. Lakini kikubwa zaidi tunajali zaidi kuangaliana wenyewe kuliko maendeleo
 
Nadhani hili LA akili zote kuwekeza katika ununuzi wa madiwani na wabunge laweza kuwa sababu kwa uongozi huu wa phase 5
 
sasa unafikiri ni lini tutaendelea kama wapo wanaopigana ili tusonge mbele ila wakati huo huo wapo miongoni mwetu wanaopambana ili turudi tulikotoka and simply kwa ajili ya maslahi binafsi.
 
Sababu ya Uchawi na ushirikina!Uchawi na ushirikina ni uharibifu na hii nchi ilijengwa katika msingi huo. Wazee walipotaka kumtuma Julius kwenda umoja wa mataifa enzi hizo waliogopa anaweza kwenda kuropoka anayoyajua yeye,kwa hiyo walienda kuzimu kufanya mambo flan hivi wakaambiwa cha kufanya na huo ndio ukawa msingi wa Tanganyika. Jiulize kiongozi gani asiyeenda kwa mganga.Kwa hiyo taifa linaathiriwa na iyo issue.Ni stori na mm niliambiwa msinitumie wasiojulikana!
 
sasa unafikiri ni lini tutaendelea kama wapo wanaopigana ili tusonge mbele ila wakati huo huo wapo miongoni mwetu wanaopambana ili turudi tulikotoka and simply kwa ajili ya maslahi binafsi.
Kweli baada ya miaka 50+ ya uhuru bado tunatoa kauli za kipuuzi kama hizi??
 
sasa unafikiri ni lini tutaendelea kama wapo wanaopigana ili tusonge mbele ila wakati huo huo wapo miongoni mwetu wanaopambana ili turudi tulikotoka and simply kwa ajili ya maslahi binafsi.
Hebu wataje ambao wana ubia na uendeshaji serikali kiasi cha kukwamisha maendeleo
 
Wadau,

Nimekuwa najiuliza sana hivi kwanini nchi yetu ina amani toka tupate uhuru 1961, hakuna vurugu za kisiasa , ina rasilimali nyingi sana lakini wananchi wake ni masikini? Nini tatizo? Nini kifanyike kunusuru hali hiyo?
 
Back
Top Bottom