Mkuu Salute sana..
Bila CCM ungekuta Nchi hii ipo mbali sana..
Ona huyu jamaa alivyoanza alikuwa anajifanya kama yeye ndie Bingwa wa kutetea rasilimali za Nchi..
Kumbe huku anakwapua 1.5Tril.
Mkuu inasikitisha wezi, wahujumu, mafisadi wote wapo ccm na mbaya zaidi ni viongozi wanatuongoza na wengine wàmestaafu, mbaya zaidi wanalindana. Kiukweli kuwaamini ccm inahitaji uwe na akili ya mwendawazimu, tuache ushabiki ukweli ni mchungu ila ccm ndo wametufikisha hapa tulipo kwa kutuibia na kiuingia mikataba ya hovyo ambayo italitafuna taifa kwa miaka99 ijayo hapa ina maana mpaka wtt ambao hawajazaliwa bado wataendelea kunyongwa na mikataba hii. Kifupi ni kwamba ccm wameuza nchi yetu kwa mabebari kwa miaka99 ijayo, bado watanzania tumelala mbaya zaidi ccm wametutegenezea mitaala ya elimu yakuzalisha vilaza ilihali watoto wao wanasoma mitaala ya kimataifa ili waje kuwatawala kina kayumba.Mkuu Salute sana..
Bila CCM ungekuta Nchi hii ipo mbali sana..
Ona huyu jamaa alivyoanza alikuwa anajifanya kama yeye ndie Bingwa wa kutetea rasilimali za Nchi..
Kumbe huku anakwapua 1.5Tril.
Utakosana na Jiwe, this is a donor country bwana, acha hizo habari za umasikiniNa ijulikane hivyo
Sawa.Na ijulikane hivyo
acha masihara mkuu banaHapana,.Tanzania ni nchi tajiri sana iliyobarikiwa,tena pengine kuliko nchi zote duniani...lakini watu wake(wengi) ndio masikini.
NB:tafsiri ya umasikini kwa ujumla wake na kwa nyanja tofauti.
Hahahahaha mkuu nimecheka saanaNchi ya maziwa na asali, kwa mujibu wa maelezo yao