Baba Mama
Senior Member
- Apr 1, 2018
- 107
- 138
Usiumize sana akili, kuna matatizo mawili tu 'mtambuka'.
1./ Ubinafsi.
Hakuna mtu iwe kiongozi au raia wa kawaida anayejaribu kuwajibika kwa ajili ya kizazi kijacho cha nchi hii. Kila mtu anatazama 'tumbo' lake tu.
2./ Ushirikina.
Jamii pana ya Watanzania/Afrika kwa ujumla wanatumia madhabahu ya kishirikina. Kamwe, Mungu hawezi kuachilia neema zake kwa watu wanaoamini ushirikina / wanaowatumaini binadamu wenzao.
Lait, hayo hayo yangefanyiwa kazi hii nchi / bara ingalikuwa replica ya paradiso.