Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?
Usiumize sana akili, kuna matatizo mawili tu 'mtambuka'.

1./ Ubinafsi.
Hakuna mtu iwe kiongozi au raia wa kawaida anayejaribu kuwajibika kwa ajili ya kizazi kijacho cha nchi hii. Kila mtu anatazama 'tumbo' lake tu.

2./ Ushirikina.
Jamii pana ya Watanzania/Afrika kwa ujumla wanatumia madhabahu ya kishirikina. Kamwe, Mungu hawezi kuachilia neema zake kwa watu wanaoamini ushirikina / wanaowatumaini binadamu wenzao.

Lait, hayo hayo yangefanyiwa kazi hii nchi / bara ingalikuwa replica ya paradiso.
 
Mi navyofahamu Amani inaanzia ndani ya roho ya mtu, Kwa nje kunakuwa na Utulivu,Utulivu inaweza kuwa wa Amani au sababu ya Hofu! narudisha swali tuna Amani au Utulivu? Mfano Jambazi Akikuteka akasema lala chini ukiinua kichwa nakutwanga risasi Utatulia ila hauna Amani..sasa kazi unayo
 
Wananchi wengi ni Watulivu..mioyoni hawana Amani ndio maana kuna rabsha za kisiasa kuanzia majumbani,ofisini hadi katika Dini(Imani)..watu wamegawanyika makundi mawili wenye hofu na wasio na hofu japo hawana Amani..ukiwa na Hofu ni nadra kuhoji? na endapo utahoji na ukakutana vikwazo vizito kifuatacho ni kuwa Mtulivu..Umasikini unaendelea na Rasli Mali watachukua wengine!
 
Wasalaam, watanzania tuamke umasikini wetu tulionao tangu Uhuru umesababishwa na Sera mbovu za ccm. Ccm ndo adui yetu wa kwanza tukimshinda adui huyu ndipo tutaweza kushinda umasikini, ujinga na maradhi. Mwenye macho haambiwi tazama kuendelea kuwaamini hawa mafisadi tunajichimbia kaburi wenyewe maana km ni viwanda mwl nyerere alijenga ccm wakauza vyote kwa 10% Leo wanahubiri Tanzania ya viwanda huu ni ulaghai na dharau kubwa kwa watanzania.
 
Mkuu Salute sana..

Bila CCM ungekuta Nchi hii ipo mbali sana..

Ona huyu jamaa alivyoanza alikuwa anajifanya kama yeye ndie Bingwa wa kutetea rasilimali za Nchi..

Kumbe huku anakwapua 1.5Tril.
 
Mkuu Salute sana..

Bila CCM ungekuta Nchi hii ipo mbali sana..

Ona huyu jamaa alivyoanza alikuwa anajifanya kama yeye ndie Bingwa wa kutetea rasilimali za Nchi..

Kumbe huku anakwapua 1.5Tril.
Mkuu Salute sana..

Bila CCM ungekuta Nchi hii ipo mbali sana..

Ona huyu jamaa alivyoanza alikuwa anajifanya kama yeye ndie Bingwa wa kutetea rasilimali za Nchi..

Kumbe huku anakwapua 1.5Tril.
Mkuu inasikitisha wezi, wahujumu, mafisadi wote wapo ccm na mbaya zaidi ni viongozi wanatuongoza na wengine wàmestaafu, mbaya zaidi wanalindana. Kiukweli kuwaamini ccm inahitaji uwe na akili ya mwendawazimu, tuache ushabiki ukweli ni mchungu ila ccm ndo wametufikisha hapa tulipo kwa kutuibia na kiuingia mikataba ya hovyo ambayo italitafuna taifa kwa miaka99 ijayo hapa ina maana mpaka wtt ambao hawajazaliwa bado wataendelea kunyongwa na mikataba hii. Kifupi ni kwamba ccm wameuza nchi yetu kwa mabebari kwa miaka99 ijayo, bado watanzania tumelala mbaya zaidi ccm wametutegenezea mitaala ya elimu yakuzalisha vilaza ilihali watoto wao wanasoma mitaala ya kimataifa ili waje kuwatawala kina kayumba.
 
Hii nayo habari kwani nani alijitokeza na kusema Tanzania ni nchi Tajiri ?



_Jf Mtawangu
 
Tanzania ni nchi tajiri sana walahi!
Wewe ni mtu masikini kweli kweli walahi
 
Hapana,.Tanzania ni nchi tajiri sana iliyobarikiwa,tena pengine kuliko nchi zote duniani...lakini watu wake(wengi) ndio masikini.

NB:tafsiri ya umasikini kwa ujumla wake na kwa nyanja tofauti.
 
Hapana,.Tanzania ni nchi tajiri sana iliyobarikiwa,tena pengine kuliko nchi zote duniani...lakini watu wake(wengi) ndio masikini.

NB:tafsiri ya umasikini kwa ujumla wake na kwa nyanja tofauti.
acha masihara mkuu bana
 
Back
Top Bottom