Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,660
- 4,384
Huko majukwaani wanasema tupo uchumi wa katiKiukweli wa Tanzania wengi ni masikini sana yani ni balaaa ktk mji wa Dar ndio kuna umasikini yan absolute poverty yani ni balaa, kwa ujumla Tanzania hatuna middle class kabisa hili ni janga kwa taifa letu
Absolutely trueKiukweli wa Tanzania wengi ni masikini sana yani ni balaaa ktk mji wa Dar ndio kuna umasikini yan absolute poverty yani ni balaa, kwa ujumla Tanzania hatuna middle class kabisa hili ni janga kwa taifa letu
Nimezungukwa na majirani kila baada ya siku mbili inabidi uwasaidie unga wa ugali. Hali ya mtaani hairidhishi wakuuNa kuna mwamba mmoja anatusisitiza tutembee vifua mbele kwamba tuko pazuri.
Inatisha. Just imagine hii miaka 5 tunarudi kule kuleKuna mtu anafosi kurudi tena na anajua wazi hakubaliki, tufunge mkanda mkuu.
Mi nafikiri hili daraja linalotawala,halina nia ya kuwatoa wananchi kwenye umaskini,kwa ufisadi na wizi uliopo,kila kiongozi anaiba kwa urefu wa kamba,na kunufsisha familia yake,ukiaangalia Hawa viongozi Nyerere,Karume,Mwinyi,Sita,Kikwete,Mkapa,na watoto wao,unajiuliza wakati watoto wa Kikwete wanapata fulsa ya kuwa marubani ktk umri mdogo,watoto wangapi wa maskini walipata hiyo fulsa?CCM imetutawala kwa miaka zaidi ya 60. Miaka 60 ni mingi sana kama ingekuwa na dhamira ya dhati ya kutuletea maendeleo. Mikataba yote ya kifisadi ya kuuza rasilimali za watanzania imeasisiwa na CCM. Naomba watanzania tuiulize CCM tuliikosea wapi mpaka ituchukie kiasi hiki?
Wanaposema wanataka kuifanya Tanzania kuwa Ulaya kwa hii miaka 5 mbona ni kama wanatuona sisi Watanzania hatuna akili? Yaani wameshindwa kuifanya Tanzania kuwa Ulaya kwa miaka yote 60 waliyotutawala ila wataweza kuifanya kuwa Ulaya kwa miaka 5 tu? Hawa jamaa wanatuona hatuna akili? Mbona wanatudharau hivi?
Hivi Watanzania ni kweli kabisa hatuna cha kuwafanya hawa CCM kwa haya mateso waliyotusababishia kwa hii miaka yote waliyotutawala? Halafu mbona hata tukijitahidi kujikomboa kwa juhudi zetu lakini bado tu wanatulazimisha kuturudisha nyuma? Ajira hakuna, mafao ya wastaafu hawalipi, Fao la kujitoa wamelifuta. Yaani hata hela zetu wenyewe tulizozihangaikia kwa jasho letu nazo wanazipora?
Hawajaridhika na kutusababishia umaskini wa kutokutuletea maendeleo kama nchi bado wanatunyang'anya hata kile tulichokitafuta kwa jasho letu binafsi.
CCM, tumewakosea nini Watanzania?
Mkuu, tatizo ni watu kama Lissu badala ya kushirikiana na serikali kusimamia maslahi ya taifa yeye kutwa nzima anapiga simu na kutuma sms or mie nitawatoa gerezani, sasa hivi anapita kwenye vijiwe vya bodaboda akihamasisha uvunjifu wa amani, jana alienda zanzibar kamwaga upupu bahati mbaya wazanzibar hawajamwelewa wanampa makavu wanamtaka maalim saif basiMi nafikiri hili daraja linalotawala,halina nia ya kuwatoa wananchi kwenye umaskini,kwa ufisadi na wizi uliopo,kila kiongozi anaiba kwa urefu wa kamba,na kunufsisha familia yake,ukiaangalia Hawa viongozi Nyerere,Karume,Mwinyi,Sita,Kikwete,Mkapa,na watoto wao,unajiuliza wakati watoto wa Kikwete wanapata fulsa ya kuwa marubani ktk umri mdogo,watoto wangapi wa maskini walipata hiyo fulsa?
Wakati watoto wa Karume na Mwinyi,wanapata fulsa pendelevu za masomo,na kazi nono,watoto wangapi wa kawaida walipewa hizo fulsa.
Ni watoto wa Nyerere tu ambao hawakubebwa na cheo Cha Baba yao.
Pinda kaachia Jimbo,mtoto wake kachukua,Kikwete aliiacha Jimbo,kijana wake akachukua,Mwinyi alikuwa Raisi,sasa hv,na mwanawe anatafutiwa chance awe Raisi.
Viongozi wetu wa nchi za afrika(nyeusi)hawana maono ya kuzifanya nchi ziwe superpower hata miaka 100 ijayo,Kama Ilivyo kwa India,Philippines,SA,Urusi,Vietnam,Korea,Japan,
Sisi huku ni wizi wizi wizi kwenda mbele,ili familia zao zineemeke,Bora hata ethiopia ina udikiteta lakini serikali inapambana kuhakikisha nchi inakuwa na uchumi mkubwa,wakati sie tunajenga mradi mkubwa wa umeme kwa pesa ya kukopa na kutumia contactor wa nje,ethiopia wanajenga mradi wao wenyewe,wazawa na kwa kutumia pesa yao.