Kwanini Watanzania wengi hawaiamini Mahakama?

Ni ukichaa kuamini mahakama za afrika hasa tz? Tuna wanasheria wapumbavu sana wanaoziongoza mahakama zetu, aliyekamatwa na kitoweo cha swala jela miaka 20 wakati aliyelitia hasara taifa ya shilingi bilioni 5 ameambiwa aende jela mikaka mi3 au alipe faini ya tsh mil8, yakitoka hapo yanajiita wanasheria wasomi, PUMBAVU ZAO
 
Jukwaa la sports
 
MWALIMU NYERERE ANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.

tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.

Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.

Amina Tena Amina Amina Tena amina


UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE
 
Kuna kizazi hakijawahi kabisa kukisoma hicho kitabu ingawa Bado kipo madukani.
 
Mahakama ipo kwaajili ya kuwatetea wanaCCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…