Mbona huleti link ya Seychelles inayoongoza kwa kuchanja watu wake,na mlipuko uko juu tena.
unaleta utetezi wa kushobokea wazungu tu.Ni nchi gani imeondoa janga la corona baada ya kuchanjwa? Lockdown za nini? Mask za nini?
Nchii hii haitatoka ilipo kama mambo yenyewe ni hivi!! Yaani unauliza ni nchi gani imeondoa janga la corona wakati hakuna nchi iliyotangaza kuiondoa corona?? Dunia ni kijiji na muingiliano wa watu ndio unasambaza ugonjwa. Kuna variants pia.
Kwa kuwa si watu wote wamechanjwa, hatua nyingine zinachukuliwa sambamba ili kudhibiti maambukizi. Hata taarifa ndogo za namna hii nazo huna?? Wala hashobokei wazungu, ukweli ni kuwa ndio wameshauri hata njia za kuondokana na tatizo. Badala ya kuwazogoa labda ungesema covidol, nyungu, bupiji na nimcarf zinafanyaje kimatibabu!!
Bro, hilo fuvu ndani kuna tundu tu!!