#COVID19 Kwanini Watanzania wengi wanakataa chanjo ya Corona?

#COVID19 Kwanini Watanzania wengi wanakataa chanjo ya Corona?

Mbona wajinga wengi tu sio Tz pekee. Iletwe wachanjwe tu , UKIMWI Mbona watu hawalazimishwi kutumia kinga wanapiga mumo kwa mumo na kujisifu wamewapelekea mto
 
Mazee ulikuwa unaishi dunia gani kwa mwaka mmoja ulipita? Yaani unajitoa ufahamu kuwa hukuwa unasoma habari za majaribio ya chanjo tangu mwaka mwaka jana? Unaelewa kiingereza? Kama unaelewa basi google kuna makalana papers nyingi kuhusu majaribio tangu mwanzo mpaka dawa ilipopitishwa kutumika.
Haya angalia uone majaribio yalivyoanza
Kwa hiyo ndani ya mwaka mmoja majaribio ya chanjo yakakamilika.....mbona unanisumbua kujibu huu upupu...
 
Una uhakika gan hizo ARVs hazina effects kwenye mwili wa binadamu? Au mnajuag tu effects ni short term mkuu? , we hujiulizi kwa nini life expectancy Siku hizi imekua low sana tofauti na miaka ya nyuma , chanzo ni hizo hizo dawa mnazozishobokea hamjui madhara yake
Mbona hamuweki mgomo kama mnavyotaka kugomea chanjo?
 
Sasa kama nchi za wenzetu wamechanjwa na bado wanaendelea kufa kama kuku , sisi za nini ?, tungekua tunaona watu baada ya kupata chanjo hawana tena hofu na corona hapo ningechoma mwili mzima, hatujaona bado maajabu yeyote kutoka kwa waliochoma zaidi ya watu kulalamika tu kugandisha Damu na kusababisha vifo
Acha uongo, maambukizi yanazidi kushuka siku hadi siku.
Ingia mtandaoni tafuta data za wiki yote hii uone kama unachoongea nincha kweli.
 
Kwa hiyo Sasa biashara ya malimao na tangawizi ikiwa pamoja na nyungu ndiyi Basi !!??
 
Hizi chanjo zimepitia hatua zote na wataalam wamejiridhisha ndiyo maana wakapitisha. Maendeleo ya teknolojia na utaalam yamewezesha hayo. Sasa mazee wewe umekariri mambo ya zama za mawe 🤣 🤣 🤣. Unashangaza sana. Hapo pengine uko Bongo unachati na mimi pengine niko USA, zamani ilikuwa inawezekana? Wewe endlea kujifungia kwenye blanketi la kukariri wenzako wanachanja mbuga.
Mimi naongea naweka na evidence, wewe unaleta porojo.......kabishane kwenye vijiwe vya kahawa huko.
 
Sasa kama nchi za wenzetu wamechanjwa na bado wanaendelea kufa kama kuku , sisi za nini ?, tungekua tunaona watu baada ya kupata chanjo hawana tena hofu na corona hapo ningechoma mwili mzima, hatujaona bado maajabu yeyote kutoka kwa waliochoma zaidi ya watu kulalamika tu kugandisha Damu na kusababisha vifo
Sasa kama nchi za wenzetu wamechanjwa na bado wanaendelea kufa kama kuku , sisi za nini ?, tungekua tunaona watu baada ya kupata chanjo hawana tena hofu na corona hapo ningechoma mwili mzima, hatujaona bado maajabu yeyote kutoka kwa waliochoma zaidi ya watu kulalamika tu kugandisha Damu na kusababisha vifo
Hayo ndo maswali wasomi wetu hawakutaka kujiuliza badala yake wanasema tu chanjo ziruhusiwe kuletwa, na bado wengine wameandaliwa kuanza kubwabwaja kwenye TV kutetea chanjo.
Hovyo kabisa.
 
Sisi wengine tunaamini Mungu alishatushindia kwa maombi tuliyofanya na Magufuli ndio maana hatutaki barakoa wala social distance wala maji tiririka wala chanjo

Ila kama hiyo chanjo inatakiwa kwa wengine sio kesi ila kwa kuwa iko kwenye majaribio kwanza serikalini isiagize wasitumie Kofi zetu waachie hospitali. Binafsi pili Wa kwanza kuchanjwa wawe wanasiasa na wabunge kuwa ikiwa na madhara hata ikiwaua poa tu tutachagua wengine.Kundi la pili naungana na Shehe mkuu Wa Bakwata Mufti shehe Zuberi liwe LA wale wanaoitaka hiyo chanjo watu wasilazimishwe

Watumishi Wa afya wapewe tu vifaa kings wasichanjwe sababu ikiwa na shida tumekwisha.Wanajeshi pia wasichanjwe jeshini sio sehemu ya majaribio ya dawa
Wanataka kuwafanya wazee wetu, wagonjwa wa pesha na kisukari, wanajeshi wetu, madaktari na wauguzi na watumishi wa serikali kama panya wa majaribio ya chanjo, a big NO.
 
Huu uletwaji wa chanjo umekua wa haraka mno mara tu baada ya kifo cha magufuli, ni kama everything was choreographed, kila kitu walipanga, wamechukua maamuzi ya haraka mno tena katika kipindi ambacho corona sio Kali sana kama kipindi cha nyuma.

Ila hakunaga siri chini ya jua , ipo siku kila kitu kitawekwa wazi.R.I.P magufuli . They killed him so they can use him a weapon kuwa ni kweli corona inaua na Boss wenu imemuua Ndo Tuogope sasa. Wananchi tumenyamaza kimya ila sio wapumbavu
 
Mbona india wamechanjwa ila wanakufa kama mdondo
Mkuu hiyo chanjo haitoi kinga ya kueleweka ndo maana utatakiwa kuchanja kila mara, angalau miezi sita......huu ni mkenge wanaotaka kuingiza nchi zetu kwa sababu ukishachanja watu wanakuwa wanaingiza na virusi ambavyo vitasababisha mlipuko mkubwa kama wa India, tukifikia hali hiyo tutapaniki na kuagiza au kuomba chanjo kwa gharama kubwa...
 
Back
Top Bottom