#COVID19 Kwanini Watanzania wengi wanakataa chanjo ya Corona?


Wajinga wengi ndio hawataki chanjo maana wengi wanaamini ushirikina.
 
Chanjo itakuja kwa ajili ya mahojaji maana huwezi kwenda Mecca bila chanjo lakini matajiri wote na wanasiasa walishachanjwa zamani.
Wengi wangapi?

Mimi ninawafahamu wengi wanaotaka iletewe hata leo hii wachanjwe.
 
Hivi lakini mtu anawezaje kuwa mjinga hivi? Au ni kitu umerithi?
Wewe ndio mjinga. Anachokueleza ni kitu sahihi kabisa.

Hao wazungu wanajichanja chanjo za maigizo (placebo) ili kusudi na nyie muingie mkenge wawadunge chanjo halisi zenye sumu.

Mtadungwa masumu kwa ujinga wenu na kutojitambua.
 
Wewe ndio mjinga. Anachokueleza ni kitu sahihi kabisa.

Hao wazungu wanajichanja chanjo za maigizo (placebo) ili kusudi na nyie muingie mkenge wawadunge chanjo halisi zenye sumu.

Mtadungwa masumu kwa ujinga wenu na kutojitambua.
Haya ma propaganda ya chanjo yameshika kasi baada ya rais kufariki, ndo maana kuna watu wana wasiwasi....
 
Kifupi kujibu wananchi Wa kawaida na waumini Wa kawaida sio wanafiki kushupalia ugonjwa usiokuwepo mitaani na kwa wananchi walio wengi

wanafiki wakubwa ni Viongozi Wakuu Wa serikali wakiongozwa na Raisi Mama Samia na Viongozi wakuu Wa dini ya kikatoliki wenye mihospitali wanaotaka pesa za wafadhili wawaibie kwa Corona isiyokuwepo mitaani na kwa wananchi na waumini wao
 
Walidanganywa na kupotoshwa na mwendazake!

Tume imesisitiza chanzo itolewe kwa hiari tu kwa wale watakaohitaji kuchanjwa hususani makundi yaliyo kwenye hatari zaidi kama watumishi wa afya.
 
Ni kwa sababu wameaminishwa mambo mengi ya uongo kuhusu Covid 19 na chanjo zake
 
Tume imesisitiza chanzo itolewe kwa hiari tu kwa wale watakaohitaji kuchanjwa hususani makundi yaliyo kwenye hatari zaidi kama watumishi wa afya
Eti makundi yaliyo kwenye hatari zaidi!

Hatari gani?? Ukichaa tu!

Wewe mama yako amekufa kwa corona?

Kwanini usijidunge hiyo chanjo wewe na mama yako badala ya kuwadunga wanajeshi wetu?
 
mimi nitachanjwa na mama zangu
Sawa, nenda ukachanjwe na mama yako!

Lakini usiwachochee watu waende kudungwa sumu!

Mnawatisha tisha tu, mara oooh sijui kuna hatari, mara sijui wimbi la nne fyoko fyoko!

Kwendeni huko mkajidunge na mama zetu!
 
 

Attachments

  • VID-20210521-WA0040.mp4
    8.4 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…