#COVID19 Kwanini Watanzania wengi wanakataa chanjo ya Corona?

Baada ya kamati ya corona iliyoundwa na Rais wetu Mh Samia suluhu kupendekeza Wantanzania kupata chanjo, Watanzania walio wengi wamepinga sana kupata chanjo ya Covid 19.

Kwa hali Hii serikali inatakiwa iangalie kwa namna nyingine kwa Maana nchi na uongonzi wake ni watu ambao ni watanzania wala siyo kulazimisha ,naamini kupitia Rais wetu itaangalia zaid maoni ya Watanzania.

Mapendekezo yangu

1)Serikali iwe na Msemaji Mkuu wa Covid 19 ambaye ni Dr hasa kama katibu Mkuu prof Abel Makubi , awe siyo Mwanasiasa
2)Swala la chanjo huwezi lipinga kwa maana ndio Suluhisho la Kudhibiti ugonjwa tunakoelekea
3) Kwa Hali ya uelewa chanjo kwa sasa serikali isilazimishe ielewee wananchi wengi wako kwanin hawaitaki chanjo
4)Serikali iendele kusimamia njia za kujikinga na ugonjwa ichukue hatu kali bila kujali watanzania wanasemaje kwa ajili ya faida ya afya wengi

Wajinga wengi ndio hawataki chanjo maana wengi wanaamini ushirikina.
 
Chanjo itakuja kwa ajili ya mahojaji maana huwezi kwenda Mecca bila chanjo lakini matajiri wote na wanasiasa walishachanjwa zamani.
Wengi wangapi?

Mimi ninawafahamu wengi wanaotaka iletewe hata leo hii wachanjwe.
 
Hivi lakini mtu anawezaje kuwa mjinga hivi? Au ni kitu umerithi?
Wewe ndio mjinga. Anachokueleza ni kitu sahihi kabisa.

Hao wazungu wanajichanja chanjo za maigizo (placebo) ili kusudi na nyie muingie mkenge wawadunge chanjo halisi zenye sumu.

Mtadungwa masumu kwa ujinga wenu na kutojitambua.
 
Haya ma propaganda ya chanjo yameshika kasi baada ya rais kufariki, ndo maana kuna watu wana wasiwasi....
 
Kifupi kujibu wananchi Wa kawaida na waumini Wa kawaida sio wanafiki kushupalia ugonjwa usiokuwepo mitaani na kwa wananchi walio wengi

wanafiki wakubwa ni Viongozi Wakuu Wa serikali wakiongozwa na Raisi Mama Samia na Viongozi wakuu Wa dini ya kikatoliki wenye mihospitali wanaotaka pesa za wafadhili wawaibie kwa Corona isiyokuwepo mitaani na kwa wananchi na waumini wao
 
Baada ya kamati ya corona iliyoundwa na Rais wetu Mh Samia suluhu kupendekeza Wantanzania kupata chanjo, Watanzania walio wengi wamepinga sana kupata chanjo ya Covid 19.

Kwa hali Hii serikali inatakiwa iangalie kwa namna nyingine kwa Maana nchi na uongonzi wake ni watu ambao ni watanzania wala siyo kulazimisha ,naamini kupitia Rais wetu itaangalia zaid maoni ya Watanzania.

Mapendekezo yangu

1)Serikali iwe na Msemaji Mkuu wa Covid 19 ambaye ni Dr hasa kama katibu Mkuu prof Abel Makubi , awe siyo Mwanasiasa
2)Swala la chanjo huwezi lipinga kwa maana ndio Suluhisho la Kudhibiti ugonjwa tunakoelekea
3) Kwa Hali ya uelewa chanjo kwa sasa serikali isilazimishe ielewee wananchi wengi wako kwanin hawaitaki chanjo
4)Serikali iendele kusimamia njia za kujikinga na ugonjwa ichukue hatu kali bila kujali watanzania wanasemaje kwa ajili ya faida ya afya wengi
Walidanganywa na kupotoshwa na mwendazake!

Tume imesisitiza chanzo itolewe kwa hiari tu kwa wale watakaohitaji kuchanjwa hususani makundi yaliyo kwenye hatari zaidi kama watumishi wa afya.
 
Baada ya kamati ya corona iliyoundwa na Rais wetu Mh Samia suluhu kupendekeza Wantanzania kupata chanjo, Watanzania walio wengi wamepinga sana kupata chanjo ya Covid 19.

Kwa hali Hii serikali inatakiwa iangalie kwa namna nyingine kwa Maana nchi na uongonzi wake ni watu ambao ni watanzania wala siyo kulazimisha ,naamini kupitia Rais wetu itaangalia zaid maoni ya Watanzania.

Mapendekezo yangu

1)Serikali iwe na Msemaji Mkuu wa Covid 19 ambaye ni Dr hasa kama katibu Mkuu prof Abel Makubi , awe siyo Mwanasiasa
2)Swala la chanjo huwezi lipinga kwa maana ndio Suluhisho la Kudhibiti ugonjwa tunakoelekea
3) Kwa Hali ya uelewa chanjo kwa sasa serikali isilazimishe ielewee wananchi wengi wako kwanin hawaitaki chanjo
4)Serikali iendele kusimamia njia za kujikinga na ugonjwa ichukue hatu kali bila kujali watanzania wanasemaje kwa ajili ya faida ya afya wengi
Ni kwa sababu wameaminishwa mambo mengi ya uongo kuhusu Covid 19 na chanjo zake
 
Tume imesisitiza chanzo itolewe kwa hiari tu kwa wale watakaohitaji kuchanjwa hususani makundi yaliyo kwenye hatari zaidi kama watumishi wa afya
Eti makundi yaliyo kwenye hatari zaidi!

Hatari gani?? Ukichaa tu!

Wewe mama yako amekufa kwa corona?

Kwanini usijidunge hiyo chanjo wewe na mama yako badala ya kuwadunga wanajeshi wetu?
 
mimi nitachanjwa na mama zangu
Sawa, nenda ukachanjwe na mama yako!

Lakini usiwachochee watu waende kudungwa sumu!

Mnawatisha tisha tu, mara oooh sijui kuna hatari, mara sijui wimbi la nne fyoko fyoko!

Kwendeni huko mkajidunge na mama zetu!
 
Umejiaminisha siyo, unajua madhara ya miaka 5 hadi 10? kuna mmoja kavimba ulimi umetokeza nje na hiyo imetokea baada ya miezi kupita. Unaelewa kitu kinachoitwa autoimmunity na hypersensivity, acha kabisa.....kwa taarifa yako kadri watu watakavyoendelea kurudia kuchanja tuseme chanjo ya pili, ya tatu, ya nne ndo tutashuhudia mtiti unaotokana na autoimmune na hypersensitivity reactions. Watu wanaelimishwa hizo chanjo hazijapewa muda wa kutosha kuwa kwenye majaribio wanaleta ujuaji, haya kazi iendelee.....
 
Attachments

  • VID-20210521-WA0040.mp4
    8.4 MB
Back
Top Bottom