#COVID19 Kwanini Watanzania wengi wanakataa chanjo ya Corona?

Korona haitaniwi wala kufanyiwa propaganda... wengi wa walioidhihaki na kuifanyia mzaha imewabandua. Itutoshe kujua Mungu hajaribiwi kwa hizi imani haba na roho chafu zilizojaa dhambi na uhasidi, wachunguzeni hao viongozi wa dini usafi wao kisha mtupe mrejesho ili tufuate maneno yao... (ukimkumbuka chui, funga mlango...)
 
Nani kakuchochea..... kwani dawa zote zilizopo nchini hapa umewahi kuchochewa kutumia.

Nyie msiotaka tulieni, watakaotaka watatumia.
Wajinga wanataka kujaza watu ujinga... hawajiulizi ni "wakubwa" wangapi walidondoka mmoja baada ya mwingine... hawajiulizi yuko mkubwa mmoja alipinga sana barakoa lakini ghafla tukamuona ameivaa!!! Akili mkichwa...
 
Wajinga wanataka kujaza watu ujinga... hawajiulizi ni "wakubwa" wangapi walidondoka mmoja baada ya mwingine... hawajiulizi yuko mkubwa mmoja alipinga sana barakoa lakini ghafla tukamuona ameivaa!!! Akili mkichwa...
Hakuna lolote, mtoto mdogo wewe haujui chochote.

Vile vilikuwa vifo vya propaganda vilivyopangwa na wahuni ili watishe watu!

Tanzania iko salama, hakuna corona wala baba yake corona!

Kama una hamu sana na chanjo, nenda ukajichanje na mmeo.

Nenda ukawaambie hao wajinga wenzako na uwaeleze kuwa Watanzania hawaugui ugonjwa wowote na hawahitaji chanjo za kihuni.
 
msimamo wa watanzania juu ya corona ni

1,corona ni ugonjwa wa mafua kama yalivyo mengine,na yuko tayari kuishi nao.
hata mheshimiwa anajua hilo,labda kuna namna anatafuta kuridhisha watu fulani.
Hiyo nami naona ndio point. Mama apo amecheza na mind za wazungu wanajifanya wanatupenda kutuchanja. Ujue CORONA ni siasa na ni diplomasia pia. Ile ripoti upande mmoja inawaambia wazungu corona ipo na tunahitaji chanjo.Upande mwigine inawaambia wananchi msikubali kuchanjwa ndio Maana wakaweka pendekezo la chanjo huru. KAMA chanjo itakuwa huru Nan akubali kuchanjwa aaathubutuu
 
Ikiwa wajawazito wajinga kama wewe wangaliko basi kizazi cha wajinga hakitaisha nchi hii!! Adui maradhi na ujinga wangaliko....
Manabii wa uongo na vibwetere wangaliko karne hii!!!???
Tanzania sio kisiwa wala haijitoshelezi kwa lolote... Tanzania inaihitaji dunia, dunia haina shida na Tanzania ndio maana tulipoleta kiherehere mbaazi zilishuka hadi TShs. 150/= na wangaliko wapumbavu hawajajifunza kitu...!!!
Elimu, Elimu, Elimu...
 
mwenda zake kawalisha watu matango poli kuhusu chanjo.nashangaa unakataa chanjo ya corona wakati wakati huo huo unakubali na unatumia chanjo ya aina tano.je huyo mzungu unae muogopa kwenye corona hawezi kuku fanyia kwenye chanjo ya surua? tusiwe na victim mentality
 
Chanjo iwe hiari ,.ziletwe chanjo zote WHO isilazimishe kutuletea za ulaya magharibi tu.yaani AstraZeneca, Johnson Johnson nk
Walete ya urus kamai Sputnik V na ya kichina .hizi za ulaya magharibi zina side effect na hata kusababisha vifo hata baadhi nchi za ulaya wameacha kutumia au kutumia kwa umri fulani.
Sehemu kubwa ya Tanzania hasa mikoani hakuna Corona na haijawai kutia mguu.so chanjo ya nini ambayo Ina madhara? chanjo wapeleke hukohuko wanapoishi waendesha nchi.au iwe kwa wasafiri nje ya nchi kutii masharti ya waendako

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Huku Mtaani Mkuu kila mtu ni Hataki kusikia chanjo nafikiri kwa sababu watu walijengwa hivyo

Jiwe na serikali yake ya walamba miguu waliwabrain wash sana baadhi ya waTZ vichwa Maji kuhusu Chanjo za kovid19 hazifai.

Chanjo ni Option ,anayetaka atachanjwa asiyetaka basi sio lazima.
 
Ni vizuri kwamba "The Denial In Chief" alizolewa na 🦠🦠🦠. Ujinga tumeufukia nae huko Chattle, na nyie kama mna hasira sana, mnaweza kufa mkaungane nae huko muendelee na ubishi.
 
kama mna hasira sana, mnaweza kufa mkaungane nae huko muendelee na ubishi.
We bwata tu, ila hizo chanjo ukajidunge na mmeo mkiwa mnapeana mahaba.

Nenda ukawaambie hao wahuni kwamba watanzania hawahitaji chanjo za hovyo hovyo!
 
We bwata tu, ila hizo chanjo ukajidunge na mmeo mkiwa mnapeana mahaba.

Nenda ukawaambie hao wahuni kwamba watanzania hawahitaji chanjo za hovyo hovyo!
Chanjo inakuja...nakwambia tena, ujinga tumeuacha Chattle... kama una hasira kufa
 
Mkuu!

Kama watanzania wengi wanakataa chanjo ya Corona, umeshindwa kuuliza huko mtaani wakakwambia kwanini wanakataa?
 
We endelea kuandika magazeti tu!

Hiyo chanjo mjichanje wenyewe na mama zenu, msituletee ujinga wa chanjo za mwendokasi.

Huku mtaani hakuna hata mmoja anayeugua mafua. Kiufupi tuko sawa bara'bara!

Kajidungeni na mama zenu huo ujinga wa machanjo ya kihuni.
 
Unaongelea chanjo zote au moja..maana sio zote zenye mode of action unayoisema na sio zote zenye side effects uliyosema..Sputnik V kwa mfano efficacy yake Ni zaidi ya 97 percent
 
Kweli kabisa mkuu..yaani watu wengine ukiwasikiliza wanachosema utashangaa Sana..Nenda clinic ya mama na mtoto..chanjo zote wanazodungwa watoto wetu zinatoka..nje..je walishindwa kutumaliza kwa hizo chanjo...
 
Unaongelea chanjo zote au moja..maana sio zote zenye mode of action unayoisema na sio zote zenye side effects uliyosema..Sputnik V kwa mfano efficacy yake Ni zaidi ya 97 percent
Kama Sputnik V au ile ya china Sinovac zipo vizuri kwa namna teknolojia ilivyotumika kuzitengeneza wanaweza kuziruhusu hizo angalau wale wenye uhitaji waweze kuchanja......angalizo langu kwa serikali kamwe isihamasihe kampeni yoyote ya chanjo kwa hizi chanjo za covid-19.......
 
Chanjo ikija ni hiari ..hakuna mtanzania atakayelazimishwa..kuchanjwa..labda mahitaji yake tu ndio yamlazimishe..kwa mfano Nimesikia nchi inayopokea watu kuhiji..imesema atakayeruhusiwa kuingia kwenye nchi hiyo Ni aliyechanjwa..
Ila tusisilishane matango pori kwamba chanjo ni mtego kwetu Africa wakati watoto wetu wanadungwa chanjo kuanzia siku ya kwanza ya maisha yao..na hakuna chanjo hata moja inatengenezwa na wa Tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…