MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Nani kakuchochea..... kwani dawa zote zilizopo nchini hapa umewahi kuchochewa kutumia.Lakini usiwachochee watu waende kudungwa sumu!
Nyie msiotaka tulieni, watakaotaka watatumia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kakuchochea..... kwani dawa zote zilizopo nchini hapa umewahi kuchochewa kutumia.Lakini usiwachochee watu waende kudungwa sumu!
Korona haitaniwi wala kufanyiwa propaganda... wengi wa walioidhihaki na kuifanyia mzaha imewabandua. Itutoshe kujua Mungu hajaribiwi kwa hizi imani haba na roho chafu zilizojaa dhambi na uhasidi, wachunguzeni hao viongozi wa dini usafi wao kisha mtupe mrejesho ili tufuate maneno yao... (ukimkumbuka chui, funga mlango...)Sisi wengine tunaamini Mungu alishatushindia kwa maombi tuliyofanya na Magufuli ndio maana hatutaki barakoa wala social distance wala maji tiririka wala chanjo
Ila kama hiyo chanjo inatakiwa kwa wengine sio kesi ila kwa kuwa iko kwenye majaribio kwanza serikalini isiagize wasitumie Kodi zetu waachie hospital. Binafsi pili Wa kwanza kuchanjwa wawe wanasiasa na wabunge kuwa ikiwa na madhara hata ikiwaua poa tu tutachagua wengine.Kundi la pili naungana na Shehe mkuu Wa Bakwata Mufti shehe Zuberi liwe LA wale wanaoitaka hiyo chanjo watu wasilazimishwe
Watumishi Wa afya wapewe tu vifaa kinga wasichanjwe sababu ikiwa na shida tumekwisha.Wanajeshi pia wasichanjwe jeshini sio sehemu ya majaribio ya dawa
Wajinga wanataka kujaza watu ujinga... hawajiulizi ni "wakubwa" wangapi walidondoka mmoja baada ya mwingine... hawajiulizi yuko mkubwa mmoja alipinga sana barakoa lakini ghafla tukamuona ameivaa!!! Akili mkichwa...Nani kakuchochea..... kwani dawa zote zilizopo nchini hapa umewahi kuchochewa kutumia.
Nyie msiotaka tulieni, watakaotaka watatumia.
Hakuna lolote, mtoto mdogo wewe haujui chochote.Wajinga wanataka kujaza watu ujinga... hawajiulizi ni "wakubwa" wangapi walidondoka mmoja baada ya mwingine... hawajiulizi yuko mkubwa mmoja alipinga sana barakoa lakini ghafla tukamuona ameivaa!!! Akili mkichwa...
Hiyo nami naona ndio point. Mama apo amecheza na mind za wazungu wanajifanya wanatupenda kutuchanja. Ujue CORONA ni siasa na ni diplomasia pia. Ile ripoti upande mmoja inawaambia wazungu corona ipo na tunahitaji chanjo.Upande mwigine inawaambia wananchi msikubali kuchanjwa ndio Maana wakaweka pendekezo la chanjo huru. KAMA chanjo itakuwa huru Nan akubali kuchanjwa aaathubutuumsimamo wa watanzania juu ya corona ni
1,corona ni ugonjwa wa mafua kama yalivyo mengine,na yuko tayari kuishi nao.
hata mheshimiwa anajua hilo,labda kuna namna anatafuta kuridhisha watu fulani.
Ikiwa wajawazito wajinga kama wewe wangaliko basi kizazi cha wajinga hakitaisha nchi hii!! Adui maradhi na ujinga wangaliko....Hakuna lolote, mtoto mdogo wewe haujui chochote.
Vile vilikuwa vifo vya propaganda vilivyopangwa na wahuni ili watishe watu!
Tanzania iko salama, hakuna corona wala baba yake corona!
Kama una hamu sana na chanjo, nenda ukajichanje na mmeo.
Nenda ukawaambie hao wajinga wenzako na uwaeleze kuwa Watanzania hawaugui ugonjwa wowote na hawahitaji chanjo za kihuni.
Huku Mtaani Mkuu kila mtu ni Hataki kusikia chanjo nafikiri kwa sababu watu walijengwa hivyo
Ni vizuri kwamba "The Denial In Chief" alizolewa na 🦠🦠🦠. Ujinga tumeufukia nae huko Chattle, na nyie kama mna hasira sana, mnaweza kufa mkaungane nae huko muendelee na ubishi.Hakuna lolote, mtoto mdogo wewe haujui chochote.
Vile vilikuwa vifo vya propaganda vilivyopangwa na wahuni ili watishe watu!
Tanzania iko salama, hakuna corona wala baba yake corona!
Kama una hamu sana na chanjo, nenda ukajichanje na mmeo.
Nenda ukawaambie hao wajinga wenzako na uwaeleze kuwa Watanzania hawaugui ugonjwa wowote na hawahitaji chanjo za kihuni.
We bwata tu, ila hizo chanjo ukajidunge na mmeo mkiwa mnapeana mahaba.kama mna hasira sana, mnaweza kufa mkaungane nae huko muendelee na ubishi.
Chanjo inakuja...nakwambia tena, ujinga tumeuacha Chattle... kama una hasira kufaWe bwata tu, ila hizo chanjo ukajidunge na mmeo mkiwa mnapeana mahaba.
Nenda ukawaambie hao wahuni kwamba watanzania hawahitaji chanjo za hovyo hovyo!
Mkuu!Baada ya kamati ya corona iliyoundwa na Rais wetu Mh Samia suluhu kupendekeza Wantanzania kupata chanjo, Watanzania walio wengi wamepinga sana kupata chanjo ya Covid 19.
Kwa hali Hii serikali inatakiwa iangalie kwa namna nyingine kwa Maana nchi na uongonzi wake ni watu ambao ni watanzania wala siyo kulazimisha ,naamini kupitia Rais wetu itaangalia zaid maoni ya Watanzania.
Mapendekezo yangu
1)Serikali iwe na Msemaji Mkuu wa Covid 19 ambaye ni Dr hasa kama katibu Mkuu prof Abel Makubi , awe siyo Mwanasiasa
2)Swala la chanjo huwezi lipinga kwa maana ndio Suluhisho la Kudhibiti ugonjwa tunakoelekea
3) Kwa Hali ya uelewa chanjo kwa sasa serikali isilazimishe ielewee wananchi wengi wako kwanin hawaitaki chanjo
4)Serikali iendele kusimamia njia za kujikinga na ugonjwa ichukue hatu kali bila kujali watanzania wanasemaje kwa ajili ya faida ya afya wengi
We endelea kuandika magazeti tu!Ikiwa wajawazito wajinga kama wewe wangaliko basi kizazi cha wajinga hakitaisha nchi hii!! Adui maradhi na ujinga wangaliko....
Manabii wa uongo na vibwetere wangaliko karne hii!!!???
Tanzania sio kisiwa wala haijitoshelezi kwa lolote... Tanzania inaihitaji dunia, dunia haina shida na Tanzania ndio maana tulipoleta kiherehere mbaazi zilishuka hadi TShs. 150/= na wangaliko wapumbavu hawajajifunza kitu...!!!
Elimu, Elimu, Elimu...
Unaongelea chanjo zote au moja..maana sio zote zenye mode of action unayoisema na sio zote zenye side effects uliyosema..Sputnik V kwa mfano efficacy yake Ni zaidi ya 97 percentChanjo iliyotengenezwa ndani ya mwaka mmoja, hakuna conclusive research iliyofanyika kuweza kupata final approval, hakuna data za mid- and long-term effects. Short-term effects zimeshaonekana, efficacy ipo chini lazima uchanje kila miezi 6, ni teknolojia mpya ya utengenezaji wa chanjo inayohusisha vinasaba DNA/RNA imeshaleta complications za autoimmunity kama blood clots, autoimmune thrombocytopaenia, sijui tunakimbizana kwenda wapi? au ndo presha za mabeberu hizi.....
Utasikia mtu anakuja na hoja dhaifu kabisa kuwa eti chanjo ina lenga kutumaliza waafrika wakati karibu 80% ya dawa zilixopo mahospitalini mwetu zinatoka huko, hao wazungu wakitaka kufanya hivyo si watafanya tu hata kwenye ARVs!!? Watu wamekuwa brainwashed sana na jiwe kuu la pembeni.
Kama Sputnik V au ile ya china Sinovac zipo vizuri kwa namna teknolojia ilivyotumika kuzitengeneza wanaweza kuziruhusu hizo angalau wale wenye uhitaji waweze kuchanja......angalizo langu kwa serikali kamwe isihamasihe kampeni yoyote ya chanjo kwa hizi chanjo za covid-19.......Unaongelea chanjo zote au moja..maana sio zote zenye mode of action unayoisema na sio zote zenye side effects uliyosema..Sputnik V kwa mfano efficacy yake Ni zaidi ya 97 percent
Unamwambia vipi mtu kilaza unamfahamu je kama naye ni mtaalamu? Jibu hoja mkuu na wengine tujifunze hapaWewe kilaza usiyeweza hata kutengeneza dawa ya minyoo wa mbuzi leo hii unawafundisha wataalam namna ya kutengeneza na ku-approve chanjo! Jikalie kimya acha wanaotaka kuitumia wafaidike.
Chanjo ikija ni hiari ..hakuna mtanzania atakayelazimishwa..kuchanjwa..labda mahitaji yake tu ndio yamlazimishe..kwa mfano Nimesikia nchi inayopokea watu kuhiji..imesema atakayeruhusiwa kuingia kwenye nchi hiyo Ni aliyechanjwa..Kama Sputnik V au ile ya china Sinovac zipo vizuri kwa namna teknolojia ilivyotumika kuzitengeneza wanaweza kuziruhusu hizo angalau wale wenye uhitaji waweze kuchanja......angalizo langu kwa serikali kamwe isihamasihe kampeni yoyote ya chanjo kwa hizi chanjo za covid-19.......